Wednesday, July 30, 2008

Dj side Zenjifm
Karibuni sana waungwana ndani ya mtandao wetu, tunatokea hapa hapa visiwani tumekuja kwa ajili ya kuwapa burudani ambazo mmekuwa mkizikosa kwa muda mrefu!!
Tupo kwa ajili yenu wapenzi wetu wote tunawakaribisha muungane nasi kwa kututumia maoni ya aina yeyote ambayo mnahisi yatasaidia kuimarisha blog yetu. Vuile vile tunakaribisha sana picha zenu ambazo mnahisi zinafaa kuziweka hapa na itakuwa ni vizuri kama watu wakizona!!
KARIBUNI SANA.

Dj side

Mambo mazuri mengi sana kwa ajili yenu!!