Sunday, May 29, 2011
EVE ALBUM YAKE KUTOKA MWAKA HUU
Mkali EVE yupo katika hatua za mwisho kukamilisha album yake baada ya ukimya takriba miaka 9 Album inaitwa 'Lip Lock',aliyoianza tokea 2007 .Album ya mwisho ya Eve ilikuwa inaitwa 'Eve-Olution
Akizunguma katika sherehe za Gumball 3000 Rally mjini London, Eve amesema emshakamisha album hiyo na mwishoni mwa mwaka huu itakuwa sokoni
LIONEL MESSI NI NOMAAA
Lionel Messi
Amechaguliwa na shirika la soka la dunia FIFA's kuwa ndie mchezaji bora wa dunia kwa mara ya pili mfululizo
Alikuwa na medali mbiliza za ushindi wa European Champions League Na sasa amechukua tena ya tatu jana baada ya jana Barcelona ku ichapa Manchester United 3/1
Lionel Messi,hadi sasa ana umri wa mika 23 tu Mchizi anatokea Argentina,
NATO KUISHAMBULIA NYUMBA YA GADAFI
Birmingham yafuta safari ya Tanzania
Friday, May 27, 2011
MPANGO MZIMA NDANI YA DUNGA
BEACH PARTY
Thursday, May 26, 2011
BERRY BLACK KUANZA UK TOURS
HUSSEN MACHOZI HODIIIIII HADI MOMBASA KENYA
KEYSHA COLE APATA MUME
MR BLUE SOON KUJA NA TILATILA
NIKI MINAJ MPANGO MZIMA
P SQUARE KUTOKA NA ALBUM MPYAAA SOON
Square wamewachukua dancers 12 (6 wa kiume na 6 wa kike) walipofanya mchakato wa kuwatafuta dancers watakaoshirikiana nao kwenye maandalizi ya album yao ya 5 na kwa sasa wako kwenye mazoezi kwa muda wa miezi 3 sasa na album yao inatarajiwa kuwa na kati ya track 10 na 13,zikiwemo za Bunieya na Forever amb...azo zitakua kitaani soon kwa fans wao
Square wamewachukua dancers 12 (6 wa kiume na 6 wa kike) walipofanya mchakato wa kuwatafuta dancers watakaoshirikiana nao kwenye maandalizi ya album yao ya 5 na kwa sasa wako kwenye mazoezi kwa muda wa miezi 3 sasa na album yao inatarajiwa kuwa na kati ya track 10 na 13,zikiwemo za Bunieya na Forever ambazo zitakua kitaani soon kwa fans wao
Tuesday, May 24, 2011
TUZO ZA BILLBOARD JUZI NI NOMAAA!!
TOP ARTIST
JUSTIN BIEBER EMINEM LADY GAGA RIHANNA TAYLOR SWIFT *WINNER
TOP NEW ARTIST
JUSTIN BIEBER * WINNER TAIO CRUZ KE$HA BRUNO MARS NICKI MINAJ
TOP MALE ARTIST
JUSTIN BIEBER DRAKE EMINEM *WINNER BRUNO MARS USHER
TOP FEMALE ARTIST
KE$HA LADY GAGA KATY PERRY RIHANNA *WINNER TAYLOR SWIFT
TOP DUO/GROUP
THE BLACK EYED PEAS *WINNER BON JOVI LADY ANTEBELLUM LINKIN PARK U2
TOP BILLBOARD 200 ARTIST
JUSTIN BIEBER SUSAN BOYLE EMINEM LADY ANTEBELLUM TAYLOR SWIFT *WINNER
TOP HOT 100 ARTIST
KE$HA BRUNO MARS KATY PERRY *WINNER RIHANNA USHER
TOP RADIO SONGS ARTIST
DRAKE BRUNO MARS KATY PERRY RIHANNA *WINNER USHER
TOP POP ARTIST
JUSTIN BIEBER *WINNER THE BLACK EYED PEAS KE$HA LADY GAGA KATY PERRY
TOP R&B ARTIST
ALICIA KEYS MONICA RIHANNA TREY SONGZ USHER *WINNER
TOP RAP ARTIST
DRAKE EMINEM *WINNER LIL WAYNE LUDACRIS NICKI MINAJ
TOP COUNTRY ARTIST
JASON ALDEAN KENNY CHESNEY LADY ANTEBELLUM TAYLOR SWIFT *WINNER ZAC BROWN BAND
TOP ROCK ARTIST
KINGS OF LEON LINKIN PARK MUMFORD & SONS MUSE TRAIN *WINNER
TOP LATIN ARTIST
ENRIQUE IGLESIAS PITBULL PRINCE ROYCE SHAKIRA *WINNER WISIN & YANDEL
TOP DANCE ARTIST
THE BLACK EYED PEAS DAVID GUETTA LADY GAGA *WINNER LAROUX RIHANNA
FAN FAVORITE OF THE YEAR
JUSTIN BIEBER *WINNER
ALBUMS AWARDS
TOP BILLBOARD 200 ALBUM
JUSTIN BIEBER — “MY WORLD 2.0″ SUSAN BOYLE — “THE GIFT” EMINEM — RECOVERY* WINNER LADY ANTEBELLUM — “NEED YOU NOW” TAYLOR SWIFT — “SPEAK NOW”
TOP POP ALBUM
JUSTIN BIEBER — MY WORLD 2.0 *WINNER BLACK EYED PEAS — “THE E.N.D.” KE$HA — “ANIMAL” LADY GAGA — “THE FAME” KATY PERRY — “TEENAGE DREAM” *WINNER
TOP R&B ALBUM
MONICA — “STILL STANDING” RIHANNA — “LOUD” SADE — “STRONGER THAN LOVE” TREY SONGZ — “PASSION, PAIN & PLEASURE” USHER — “RAYMOND V. RAYMOND” *WINNER
TOP RAP ALBUM
DRAKE — “THANK ME LATER” EMINEM — RECOVERY *WINNER NICKI MINAJ — “PINK FRIDAY” LIL WAYNE — “I AM NOT A HUMAN BEING” KANYE WEST — “MY BEAUTIFUL DARK TWISTED FANTASY”
TOP COUNTRY ALBUM
JASON ALDEAN — “MY KINDA PARTY” LADY ANTEBELLUM — “NEED YOU NOW” SUGARLAND — “THE INCREDIBLE MACHINE” TAYLOR SWIFT — SPEAK NOW *WINNER ZAC BROWN BAND — “THE FOUNDATION”
TOP ROCK ALBUM
THE BLACK KEYS — “BROTHERS” JACK JOHNSON — “TO THE SEA” KID ROCK — “BORN FREE” LINKIN PARK — “A THOUSAND SUNS” MUMFORD & SONS — “SIGH NO MORE” *WINNER
TOP LATIN ALBUM
MARC ANTHONY — “ICONOS” CAMILA — “DEJARTE DE AMAR” ENRIQUE IGLESIAS — EUPHORIA *WINNER PRINCE ROYCE — “PRINCE ROYCE” SHAKIRA — “SALE EL SOL”
TOP DANCE/ELECTRONIC ALBUM
DAFT PUNK — “TRON LEGACY (SOUNDTRACK)” LADY GAGA — “THE FAME” *WINNER LADY GAGA — “THE FAME MONSTER” LADY GAGA — “THE REMIX” OWL CITY — “OCEAN EYES”
TOP HOT 100 SONG
TAIO CRUZ — DYNAMITE *WINNER EMINEM FEAT. RIHANNA — “LOVE THE WAY YOU LIE” BRUNO MARS — “JUST THE WAY YOU ARE” KATY PERRY FEAT. SNOOP DOGG — “CALIFORNIA GURLS” USHER FEAT. WILL.I.AM — “OMG”
TOP DIGITAL SONG B.O.B FEAT. HAYLEY WILLIAMS — “AIRPLANES” TAIO CRUZ — DYNAMITE *WINNER EMINEM FEAT. RIHANNA — “LOVE THE WAY YOU LIE” BRUNO MARS — “JUST THE WAY YOU ARE” KATY PERRY FEAT. SNOOP DOGG — “CALIFORNIA GURLS”
TOP RADIO SONG
TAIO CRUZ — “DYNAMITE” EMINEM FEAT. RIHANNA — “LOVE THE WAY YOU LIE” BRUNO MARS — JUST THE WAY YOU ARE *WINNER USHER FEATURING PITBULL — “DJ GOT US FALLIN’ IN LOVE” USHER FEAT. WILL.I.AM — “OMG”
TOP STREAMING SONG (AUDIO)
TAIO CRUZ — “DYNAMITE” EMINEM FEAT. RIHANNA — “LOVE THE WAY YOU LIE” LADY ANTEBELLUM — “NEED YOU NOW” BRUNO MARS — “JUST THE WAY YOU ARE” NELLY — JUST A DREAM *WINNER
TOP STREAMING SONG (VIDEO)
JUSTIN BIEBER FEAT. LUDACRIS — BABY *WINNER EMINEM — “NOT AFRAID” EMINEM FEAT. RIHANNA — “LOVE THE WAY YOU LIE” LADY GAGA — “BAD ROMANCE” SHAKIRA FEAT. FRESHLEYGROUND — “WAKA WAKA (THIS TIME FOR AFRICA)”
TOP POP SONG
TAIO CRUZ — “DYNAMITE” *** WINNER ** BRUNO MARS — “JUST THE WAY YOU ARE” KATY PERRY FEAT. SNOOP DOGG — “CALIFORNIA GURLS” KATY PERRY — “FIREWORK” KATY PERRY — “TEENAGE DREAM”
TOP R&B SONG
ALICIA KEYS — “UNTHINKABLE (I’M READY)” RIHANNA FEATURING DRAKE — “WHAT’S MY NAME” TREY SONGZ FEAT. NICKI MINAJ — “BOTTOMS UP” USHER FEAT. WILL.I.AM — OMG *WINNER USHER — “THERE GOES MY BABY”
TOP RAP SONG
B.O.B FEAT. HAYLEY WILLIAMS — “AIRPLANES” B.O.B FEAT. BRUNO MARS — “NOTHIN’ ON YOU” EMINEM FEAT. RIHANNA — LOVE THE WAY YOU LIE *WINNER FAR*EAST MOVEMENT FEAT. DEV & THE CATARACS — “LIKE A G6 NELLY — “JUST A DREAM”
Friday, May 6, 2011
SHAGGY KUTIMBA ZANZIBAR 18 JUNE 2011
KISIMA MUSIC AWARD 2011
Tuzo za 9 za Kisima toka Kenya aka Kisima Music Awards – 2011 zimezinduliwa jijini Nairobi-Kenya
Kisima Music Awards ni tuzo zinazoandaliwa nchini Kenya kwa ajili ya kuwatuza wasanii waliofanya vizuri kwa ukanda wa afrika mashariki na tuzo hizo zitafanyika kwenye ukumbi wa KICC,tarehe 30 September 2011
Wednesday, May 4, 2011
TMK KUJA NA MOVIE YA PAMOJA
Makundi mawili yaliyohasiana ya miondoko ya kizazi kipya toka pande za Temeke,TMK Wanaume Family na TMK Wanaume Halisi wanatarajiwa kutoa movie la pamoja
Movie hilo linatarajiwa kuwaunganisha mahasimu hao,ambao awali walikuwa kundi moja na kufanya kazi kadhaa wakiongozwa na Meneja wao Said Fella ambaye kwa sasa anasimamia kundi la TMK Wanaume Family
Kwa sasa Maandalizi ya filamu hiyo yanaendelea ambapo wanakamilisha hatua ya kuandaa mwongozo utakaochukua wiki mbili hadi kukamilika kwake,na lengo la kuandaa filamu hiyo ni kuelezea historia ya wanamuziki wa kundi hilo,toka walikotoka katika safari yao ya muziki hadi walipofikia sasa
Wanamuziki wote wa makundi hayo watashiriki bila kubagua pia shughuli za kuunganisha miziki iliyokwisharekodiwa awali na studio hiyo inatengenezwa kwa ajili ya kuingizwa katika filamu hiyo kama soundtrack
YAJUE MAMBO 10 YA OSAM A BIN LADEN
1- Osama bin Mohammed bin Awad bin Laden aka Osama bin Laden alizaliwa tarehe 10 March,1957 Riyadh-Saudi Arabia,akiwa ni mtoto wa 17 kati watoto 57 kuzaliwa toka kwa baba yake Mohammad bin Laden,tajiri-bilionea na mama yake Hamida Al-Attas anayetokea Syria alikua ni mke wa 10 kwa baba yake!
2 - Baba yake Mohammed bin Laden alifariki kwenye ajali ya ndege mwaka 1967,baada ya pilot wa kimarekani kufanya makosa wakati wa kutua na kumuachia Osama Bin Laden urithi wa dola milioni 80 akiwa tu na miaka 11
3 - Osama Bin Laden alikua ni muanzilishi na kiongozi wa kundi la Al-Qaeda mwezi August 1988 - 1989na alisomea Economics na business Administration kwenye Chuo cha King Abdulaziz na inasemekana kuwa alipata degree ya Civil Engineering in 1979,au degree ya Public Administration mwaka 1981!
4 - Kuanzia mwaka 2002 Osama bin Laden alioa wake 4 na anakadiriwa kuwa na watoto 25 mpaka 26!
5 - Jeshi la Marekani lilimtafuta osama Bin Laden kwa miaka 10,lakini kikosi cha watu 20–25 toka US Navy Seals aka Seal Team Six lililoitwa 'Geromino' liliwachukua dakika 40 tu kabla ya kumuua kwa kumpiga risasi kichwani na kifuani!
6 - Wakati wanajeshi wa Marekani wanavamia nyumbani kwa Osama,Rais Barack Obama alikua anaangalia live kupitia real time video,mishe mishe zote za kuuwawa kwake!
7- Nyumba aliyokua anakaa pande za Abbottabad ilikua ina thamani ya dola milioni 1 za kimarekani,lakini eneo lililokuepo ilikua ni nyumba mbaya kati ya 40 zilizokuepo pande hizo,usioitegemea kama inaweza ikawa makazi ya mtu,isiyokua na mawasiliano ya simu wala internet!
8 - Majirani zake pande za Abbottabadd walikua hawajui kuwa Osama alikua anaishi eneo hilo coz nyumbani kwake kulikua kumetulia sana,na baada ya kuona kuwa kusikia milio ya risasi,waliamua kuwasha TV na kushangaa kuona Rais Obama akitangaza kuwa Osama ameuliwa eneo lao wanaloishi!
9 - Baada ya kutangazwa kuwa ameuwawa,mtandao wa twetter uliweka historia,Jumapili ya tarehe 01 May,2011 kwa kupata tweeter sms 3,440 kwa sekunde!
10 - Baada ya kutangaza kuwa ameuwawa Rais Obama aliandaa dinner na alipewa 'standing ovation' (wakati anaingia watu walikua wameshakaa na wakasimama na kumshangilia kwa kumpigia makofi) kwenye ikulu ya White House na kuwapongeza mashujaa waliomuua Osama Bin Laden!
Sunday, May 1, 2011
Subscribe to:
Posts (Atom)