Thursday, June 23, 2011

SHAGGY NGOME KONGWE KESHO 24/6/2011


Hatimae kiingilia kwenye show ya shagy chapanda ... sasa ni alf15 kwa raia na dola 20 kwa asiekuwa raia . show ni kesho tarehe 24 ngome kongwe . na Jpili itakuwa after party ya ziff kendwa rock... Dj side on the one n 2 Mwanzo mwisho

NGOZI YA CHURA KUTIBU SARATANI


Wataalamu kutoka Chuo Kikuu cha Belfast wamejishindia tuzo kwa kazi waliyoifanya kuhusiana na ngozi ya chura ambayo wamegundua inaweza kutibu zaidi ya maradhi makuu 70.ikiwemo saratani ya ngozi

MANAGER WA THE GAME MATATANI


Maneger wa THE GAME Rosemond anaaminika kuwa ni kiongozi wa usambazi wa cocaine na anatuhumiwa kusafirisha mamia ya kilo za cocaine toka Los Angeles kwenda New York kupitia FedEx na UPS tangu mwaka 2008,na wiki iliyopita aliyekuwa mshirika wake Dexter Isaac alifunguka kuwa rap manager na business man huyo alimlipa dola 2,500 ili amwibie Tupac Shakur pande za NY’s Quad Studios mwaka 1994,ambapo 2 Pac alipigwa risasi 5 na kuanza vita na The Notorious B.I.G wakati alikua hahusiki kulikosababisha uhasama kati yao pia Resmond inaaminika kuwa mwaka 2009 alifadhili mauaji ya mshirika wa G-Unit,Lowell Fletcher ROSEMOND SASA AMEKAMATWA NA POLISI

JAY Z NA WILL SMITH KWENYE MEN IN BLACK 3


Mkali Jigaa.. Jay z hapa anaonekana akiwa na mkali Will Smith kwenye production na upigaji picha wa movie yake mpya ya Men In Black III pande za New York's Battery Park... Inaonekana kama jigaa huwenda akatokea kwenye hii movie....

RICK ROSS NA TATOO MPYA


Rick Ross ameweka tatoo mpya usoni aka Face tatoo Face tatoo ya Rick Ross upande wa shavu la kushoto imeandikwa Cazal

Tuesday, June 14, 2011

FULL MOON PARTY

FULL MOON PARTY 18/6/2011


Jmosi ijayo itakuwa tarehe 18 ndio full moon party kendwa rock..kaskazini ya Zanzibar (Nugwi ) Usikosee..kushuhudia wacheza sarakasi wala moto ngoma za kiasili na burudan mbali mbali . vinywaji na vyakula mbali mbali katika ufukwe wa bahari Kutabigwa disco ngoma za aina zote usiku wakucha Dj side katika moja na 2 mwanzo mwosho.... Karibu

USHER RAYMOND NA KERI HILSON KUKAMUA KENYAA


Usher Raymond na Keri Hilson watadondoka jijini Nairobi-Kenya kupiga show na mshindi wa Season mpya ya Tusker Project Fame iliyobatizwa jina la Tusker All Stars-2011,kwenye viwanja vya Carnivore tarehe 20 August,2011

DROGBA AFUNGA NDOAA UFARANSA


Star wa Chelsea na Ivory Coast,Didier Drogba amefunga ndoa na longtime sweetheart na mama wa watoto wake 3,Lalla Diakite pande za Marie De monaco nchini Ufaransa

FULL MOON PARTY 18/6/2011


Full moon party saturday 18/6/2011 northan of Zanzibar Kendwa rock hotel ..B.B.Q on the beach .Traditional ngoma and acrobatic show.. Selected coctail all night... Delicious barbeque menu. Sushi and Pizza ..Music all around the World Dj side in the House

SHAGGY LIVE IN ZANZIBAR 24/6/2011


The Jamaican-American reggae singer and rapper, famous for international hits such as “It Wasn’t Me” and “Hot Shot”, will get Zanzibar up and dancing with an amazing one-off concert. The biggest selling dancehall artist ever, this is Shaggy’s first visit to Zanzibar and promises to be one of the major highlights of ZIFF 2011.

Ticket Price:
Shaggy at The Old Fort : Tsh 5000 local $10 Foreigner visitors
Doors Open: 6pm, 24th June

SHAGGY KUKAMUA IJUMAA 24/6/2011 ZANZIBAR


Hatimae Shaggy kukamua siku ya ijumaa ya tarehe 24 nwezi huu katika ukumbi wa ngome kongwe mambo club. kiingilio ni sh/ 5000 kwa mtanzania na dola 10 kwa wageni.. milango itakua wazi kuanzina 12 jion show haitakuwa tena uwanja wa amani na sasa itakuwa pale pale ngome kongwee idadi ya watu watakao ruhusika kuingia ni watu 4,000 tu

KANYE WEST AMPA LEBO D'BANJ....GOOD MUSIC


D'Banj artist toka Nigeria,amepata deal toka kwa Rapper Kanye West baada ya Kanye kum-sign kwenye lebo yake ya Good Music D'Banj ataungana na Artist wakubwa kama Common,John Legend,Kid Cudi,Pusha T na Mos Def ambao wako chini ya label ya Good Music