Tuesday, September 6, 2011
MZEE YUSSUF ATAPELI EUROPE
SOMAAA HIII EMAIL NILIOTUMIWA LEO
Mambo vipi side? ss kuna hii habari moja kuhusu uyo mzee yussuf alikua afanye show europe kuanzia tareh 02/09 holland, tareh 03/09 greece, tareh 04/09 germany, uyo jamaa ni tapeli kumbe sana kawatia watu hasara zaid ya euro elf 12,000 kwakua maandalizi yalikua makubwa katika nchi zote ambazo alikua afanye ziara zake,kwa mji wa holland ticket zote tayari zilikua zimeshauzwa na kumalizika kabisa kitu ambacho kilifanya wafadhili wake watoe tena copy za nyongeza kwakua ulikua ni usiku special wa muafrica na raia tofauti walikua wahudhurie show hiyo, hapa greece halikadhalika ilikua hivo pamoja na gharama za kulipia ukumbi, machapisho ya matangazo na uuzwaji wa ticket pia hadi dakika za mwisho mdhamini mkuu wa hapa ugiriki bw. shamir ambae alikua akiongea nae kwa njia ya simu alimuhakikishia kuwa atawasili ugiriki siku ya jumamosi tare 03/09 saa 10 jioni, kitu kilichowafanya kutawanya matangazo kwa watu wote hadi dakika za mwisho wananchi walikua wameshafanya shopping za nguvu kwaajili ya kumpokea mfalme huyo, matokezeo yake patupu simu zake hapoke hela ameshakula kitu kilichosabaisha kufumka zogo kwa wananchi wenye hasira natayari walishalipa pesa kwaajili ya show hiyo pia kuwapa lawama waandalizi wa show hiyo kuonekana ni matapeli,kwakweli ilibidi watu wengine kulia kwa uchungu na hasa kina mama zaid walipata hasara kujitaarisha na show hiyo,kitu ambacho kimemjengea sifa mbaya kwa europe nzima sasahivi hakuna hta nafasi moja atakayoipata tena ya kufanya show hapa europe hii habari side irushe ili watu waone tabia hizo za wasanii wetu kujipotezea umaarufu na ile heshima yao.
Subscribe to:
Posts (Atom)