Saturday, March 21, 2009

Dj side Live studio


Dj side akiwakimbiza kwenye Kipindi cha The crush hii ilikuwa siku maalim ambapo mchizi alipata mgeni kutoka Ujeruman kuja kumtembelea kwenye kipindi na kufanya mahojiano nae. Lengo la mjeruman huyo kuja ni kutaka kujua zaid juu ya Dj side ambae aliteuliwa kuwa Dj wa Tamasha kubwa linalofanyika hapa Zanzibar kila mwaka Tamasha la Sauti za Busara .

No comments: