Sunday, November 22, 2009
Tuesday, November 10, 2009
MAALIM SEIF AKIHOIJIWA NA ZENJIFM LEO
Katibu mkuu wa cuf maalim seif sharif hamad leo Alihojiwa na Zenjifm FM Radio Nakusema lengo kuu la yeye na chama chake kwaujumla kukutana na rais wa Zanzibar na hatimaye kutangaza rasmi kumtambua rais wa Zanzibar baada ya miaka 4 ya chama cha cuf yakutomtambua rais aman abeid karume ni kuzika tofauti ambazo zilizoonekana kujitokeza katika miongo kadhaa ilitopita ni kujenga Zanzibar mpya sasa Bonyeza Hapa(Maalim Seif) Kusikia Maalim Alisema nini?
MAALIM SEIF AKIZUNGUMZIA SUALA LA MUUNGANO
Licha ya maalim sef kusema kuwa lengo la cuf kukutana na kutangaza rasmi kumtambua rais karume kwa lengo la kuzika tofauti na kujenga Zanzibar mpya , bado tunatambua kuwa Zanzibar imepita katika mazingira tofauti tofauti lakini kwanini kwa kipindi kirefu kumekuwa kukionekana hali ya tofautitofauti kama upemba na unguja na vitu vya namna hiyo tatizo nini maalim? bonyeza hapa (Maalim Seif) Kusikia Maalim nini kasema
YALIYOMSIBU MAALIM SEIF MARA BAADA YA KUACHA UWAZIRI KIONGOZI
Hata hivyo katibu mkuu huyo wa cuf maalim seif sharif hamad hakusita yaliyomsibu mara baada ya kuacha uwaziri kiongozi alipoulizwa kuwa ali ilikuwaje siku alipoachia madaraka ya uwaziri kiongozi… bonyeza Hapa (Maalim Seif) kusikiliza alichosema Maalim
DAUD ISMAIL AKIKABIDHI ZAWADI KWA MREMBO
Flave Djs kwenye Pozi la Ukweli
Mr II ATAJA TAREHE YA UZINDUZI WA ALBUM YAKE MPYAA

Baada ya kudondosha pini la "Hold On" wiki mbili zilizopita , Mkongwe wa Bongo Flava Sugu aka Mr II kwa sasa yupo katika maandaiziya Uzinduzi wa alburm yake Iliokuwa ikisubiriwa kwa mda mrefu . Mr 2 ambaye kwa sasa Yupo Yew York USA amesema Uzinduzi wa alburm yake Unatarajiwa kufanyika December 24th katika ukumbi wa Diamod Jubilee
Katika album hiyo mchizi amesimama na ngoma 10 akiwa amewashirikisha wakali kutoka bongo kama Pro Jay , Stara Thomus , Mwna F a , Mkongwe Baloz dola soul na wengine wengi …
Hayaa Mkongwee Huyoo anarudi Atabambaa ?
NAKO 2 NAKO KUWABAMBA TENA
Mandojo awifa na Baba mzazi
Habari zakusikitisha baba yake mzazi Man dojo amefariki dunia wiki hii kule Manyoni Singida, baba mzazi huyo anajulikana kwa jina la FRANCIS MICHAEL ONGOSO. Mandojo na Domokaya ni wasanii walikuja kwa vishindo Wakatingisha Bongo. Kipaji cha wasanii hawa kiligundulikana na Producer maarafu P funk majani
Kwa sasa Mandojo Yupo singida kumlaki baba yake
Pole kakaaaa.. Yote ni mipango ya mungu . Sawa na nyimbo yako Alitakalo mungu halina makosa .
.
Sunday, November 8, 2009
Maisha club Yawaka Moto
Mmiliki wa Maisha Club
Thursday, November 5, 2009
Baby By Me - 50 Cent Feat. Ne-Yo
Hayaa waungwana kama mlivoniomba niweke hii ngoma mpate kuiona Hiyo hapo sasa semen nani mkali kati ya 50 na Ne yo
Wednesday, November 4, 2009
Fleva Dj Party zone!!

FLEVA Djs NDANI YA FUJI DISCO TAKE WIKI HII
Mikandamizo baado Inaendelea Ndani ya Fiji Disco Take (FLEVA DJ)
Ijuma hii ya 13th wataporomosha show la nguvu ambalo litakonga nyoyo za mashabiki wa burudani visiwani hapa” Wiki hii ni kwanja tuu kwenda mbeleee mpaka majogoo
Kwa kiingilio cha kawaida tu Tsh.3000, jukwa...a litatikisika kwa ajili yako
Sio pengine ni ndani ya ukumbi wa maraha wa FUJI DISCO TAKE
Saa 5:00 usiku FLEVA DJ Wataanza kurembea mizinga na kutupa mawe mpaka miale ya jua ianze kuchomoza machoni mwako
Usikose kufurahia maujanja ya kucheza na mashine na
Mikandamizo itarushwa na Dj wakali kama Dj side,Dj Bhaa s,Dj sam (mjanja suplier) pamoja na Dj Ally.
Karibu sana
Flava Dj

It's Party Time. The Party Doesn't stop till you drop, it goes on and on. It is at Friday night Mix where lovers of music swing and dance non-stop tune... Flava DJs as we plays a perfect blend of the hottest and the latest music from new jack swing to Hip hop, Bongo Flava, Dancehall and House. Shake to the week's to...p 40 hits. Dj side ,Dj Bhaa ,Dj Ally & Dj Sum Will plays your Favourite mellow mix - raggae, Soca, Dancehall, East African's Flavas, Kwaito and the latest in R 'n' B.
Your Welcome
Sunday, November 1, 2009
Subscribe to:
Posts (Atom)