Tuesday, November 10, 2009
Mr II ATAJA TAREHE YA UZINDUZI WA ALBUM YAKE MPYAA
Baada ya kudondosha pini la "Hold On" wiki mbili zilizopita , Mkongwe wa Bongo Flava Sugu aka Mr II kwa sasa yupo katika maandaiziya Uzinduzi wa alburm yake Iliokuwa ikisubiriwa kwa mda mrefu . Mr 2 ambaye kwa sasa Yupo Yew York USA amesema Uzinduzi wa alburm yake Unatarajiwa kufanyika December 24th katika ukumbi wa Diamod Jubilee
Katika album hiyo mchizi amesimama na ngoma 10 akiwa amewashirikisha wakali kutoka bongo kama Pro Jay , Stara Thomus , Mwna F a , Mkongwe Baloz dola soul na wengine wengi …
Hayaa Mkongwee Huyoo anarudi Atabambaa ?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment