Tuesday, January 25, 2011
VALENTINES DAY BEACH PARTY
Valentine's Day Beach Party
Mon 14 Feb
Kendwa Rocks: 8:00pm til dawn
With live entertainment from the island's best DJs including DJ Side, featuring guest DJ Mxolisi (South Africa), acrobatics from Jambo Brothers, and more live music and special prizes
Entrance: 5000/= TSH.
Saturday, January 22, 2011
VALENTINES DAY BEACH PARTY
Thursday, January 6, 2011
PARTY PEOPLE ARE YOU READY?
Party people are u ready? Kuna kitu kikubwa kinakuja ... Jee ungependa Friday Party iwe Fuji Disco tek au Zanzibar ocean view Beach party? kila Jmosi?
Tuma comment zako kwenda djside_dj@yahoo.com
Tuesday, January 4, 2011
BERRY BLACK AWAFURAHISHA TANZANIANS COMMUNITY IN GREECE
TANZANIANS COMMUNITY IN GREECE,JUMUIYA YA VIJANA ILIANDAA TAMASHA AMBALO LILIMUALIKA RASMI MSANI WA KIZAZI KIMPYA ZENJ FLEVA BERRY BLACK USIKU WA MWAKA MPYA, TAMASHA HILO LILIHUDHURIWA NA MATAIFA MBALI MBALI NA KWA WINGI SANA KWA MARA YA KWANZA NI MSANII AMABE ALIVUNJA RECORD KWA HAPA ULAYA KUPENDWA NA ALIJIZOLEA SIFA NYINGI SANA KUTOKA NA STAIL YAKE NA NYIMBO ZAKE ZOTE KUPENDWA NA WADAU WALIOHUDHURIA SHEREHE HIZO NA NI KWA MARA YA KWANZA MSANI KUPANDA JUKWAANI NA KUIMBA NYIMBO NYINGI ZAID.HIYO NI MOJA YA SIFA ALIZOPATA MSANII HUYO KUTOKEA KISIWANI ZANZIBAR NA NI MSANI WA KWANZA KUTOKA KISIWA HICHO CHA MARASHI YA KARAFUU,PONGEZI ZA DHATI ZIWAENDEE JUMUIA YA VIJANA WA TANZANIA YA HAPA UGIRIKI CHINI YA M/WAKE SAID MADUBEI ( KOSTA) KATIBU WAKE. MARYAM DIMITRIOU.MSAIDIZI KATIBU CHIDY ( NURAMO ) NA PAMOJA JUMUIA KUU YA HAPA GREECE. MSANII HUYO AMEONDOKA RASMIN HAPA GREECE LEO JUMATATU KUELEKEA GERMANY NA KUENDELEA NA ZIARA YAKE YA ULAYA NZIMA.PIA BILA YA KUSAHAU WADHAMINI WAKE (SAFARI TRAVEL AGENT, EUROLINE CENTRE WESTERN UNION NA NURAMO VIDEO PRODUCTION IKIONGOZWA NA CHIDY ) PIA SHUKRANI KWA WOTE WALIOFANIKISHA KUFANYIKA TAMASHA HILI PIA TUNAPENDA KUWAFAHAMISHA WENZETU WA HUKO TANZANIA WASANII WAJITAHIDI SANA ILI NA WAO WAPATE NAFASI KAMA HIZI KUJA ULAYA KUFANYA SHOW.MIMI NI MZANZIBARI AMBAE NINAISHI HAPA GREECE NA KAZI ZANGU NI VIDEO PRODUCTION PIA NI MTENDAJI KTK JUMUIA YA VIJANA HAPA UGIRIKI, HIVYO DJ SIDE NAPENDA HABARI HIZI UZIRUSHE ILI WATU WAELEWE MADHUNI YA SAFARI YA MSANI BERRY NA MAFANIKIO ALIYOYAPATA NA MM NITASIMAMA KIDETE KUWAINUA WASANI WA KIZANZIBARI HUKU ULAYA CONTACT ZANGU NI HIZI.+306946094330 OR 210 2287264 TUTAONGEA ZAID NA PIA WAFAHAMISHE WATEMBELEE WEBSITE YA VIJANA HAPA NI
www.tanzaniansingreece.org
Monday, January 3, 2011
BERRY BLACK AMALIZA SHOW YAKE NCHINI GREECE
Subscribe to:
Posts (Atom)