Monday, January 3, 2011

BERRY BLACK AMALIZA SHOW YAKE NCHINI GREECE


MSANII BERRY BLACK AMALIZA SHOW YAKE NCHINI GREECE NA KUAGWA RASMIN WANADHAMINI WAKE SAFARI TRAVEL AGENT,EUROLINE CENTRE NA NURAMO VIDEO PRODUCTION, PAMOJA NA CAPTAIN WA TIMU YA TAIFA YA BRAZIL NA PANATHANAIKOS YA UGIRIKI ( GILBARTO SILVER ) ATHENS AIRPORT NA KUENDELEA NA ZIARA ZAKE ZA EUROPE.

No comments: