Saturday, February 12, 2011
HAVING FUN WIT SUPER STARS!!! LUNCH YA NGUVU!!
Mimi na Mustapha Asenal tukibadilishana mawazo huku tukiwa tunapata lunch kwa pamoja I say Jamaa anaongea mpaka basi Maana alikuwa akinichekesha mpaka daaar sikutarajia . Hapa tulikuwa kwenye Kasri la Mfalme Pale forodhan mida ya mchana mchana hivi
Hapa nikiwa na mzee wanga Mhamed Ilyas tukipata chakula cha mchana... Tulizungumza mambo mengi sana. Na nimejufunza vitu vingi kutoka kwa mzee wangu huyu. Kwa sasa Mhamed Ilyas kila siku ya Alhamis anapiga Piano pale Movenpic Dar. na kila jumapiki yupo serena Inn zaznibar
Thursday, February 10, 2011
SAUTI ZA BUSARA KUANZA RASMI JANA
Jana tamasha la busara lilianza rasmin .Kiufupi watu wilihudhuria ni wengi sana kulingansha na mwaka uliopita. Hapo juu ndo kama unavyona waandaaji wana busara wakiwa kwenye stage wakati waufunguzi wakijitambulisha kwa wadau walihudhuria tamasha hilo
Kitu kikubwa kilicho washangaza watu wengi ni kuhusuana na Wageni waliohudhuria kwenye tamasha hilo. Kwa mujib wa tasmini ya haraka haraka wageni walionekana ni wengi zaid kuliko wazawa wa hapa znz kitu ambacho baadhai ya wageni kutoka kenya na uganda kushaangaa na kusema heee. I say wazanzibar hata hawana habari na tamasha? sisi tumetoka kwetu wao hawana habari
Hii ndio team ya busara wakishangiliwa kwa fujo wakati wa ufunguzi wa Tamasha
Kikundi cha Jahazi mordan Taarab wao ndio walifunga show kwa siku ya jana. lakini Jahazi lilipanda stajini basi na mzee yussuf. Kitu ambacho kiliwashangaza wengi na kuhoji hali ya mzee yussuf. Kikweli mzee anaumwa na Mguu na amefanyiwa operation wa goti. kwa maana hiyo jana hakuweza Kuimba kwani bado pio pio bado halijatoka
Hata hivo vijana walifanya akzi nzuri sana
Jahazi mordan taarab wakifanya vitu kweny jukwaa usiku wa jana kwenye Tamasha la busara
Baadhi ya wapezi walihudhuria kwenye tamasha siku ya kwanza ya ya ufunguzi wa tamasha hilo
Kendwa Rocks Presents Valentine's Party and Sauti za Busara after party on 14th February 2011 in Kendwa
The Sauti za Busara after party is happening this year at Kendwa Rocks on Valentine's Day. Entrance is TSH5,000, dress code is red and white, and there will be a prize for the best-dressed couple. There will be the option of romantic dining, as well as the Jambo Brothers acrobats and DJs Side and Mukada and guest DJ Mxolisi from South Africa.
Wednesday, February 9, 2011
PEMBA TOUR NA JUPITERS CREW
Mimi(Dj side) Nikiwa na Producer wa Jupiter record Aron name hapa tulikuwa tanabadilishana mawazo tukiwa kwenye meli kurud zanzibar tukitokea Pemba kwenye show ambayo tuliiandaa kwa pamoja
Hapa ilikuwa full kujiachia na camera ya Dj side.. Nadhan unaona hapo. Rico singo akiwa na Mimi(Dj side) Tukijaribu kukamua picha kali .Vipi hiyo style umeipenda?
Huyu ndie mwana dada Say nag .. hapa alikuwa ubavun kwangu tukibadilishana mawazo. Say nag kwasasa anatamba na wimbo wake wa Inatosha. na ndani ya wiki hii ameachia wimbo mpya uitwao Rudi. Say nag alionekana kukubalika sana Pemba
Kumbe hata katika style kama hizi pia natoka mzuka?
There Is No Perfect Life, But we Can Fill It With Perfect Moments.
Dj side
Rico singo akiwa kwenye stage akikamua shampen wadau hapa walionekana kukubali hadi kupanda juu ya stage!
Hapa mkali rico singo akiwapeleka mchaka mchaka mashabik waliohudhuria kwenye ukumbi wa mesi ya jeshi Pemba. Rico singo ndie aliyekuwa M/c wa show. Na hapa mimi nilipanda kumtambulisha rico ili aje akamue
Umati wa wadau wa mziki wa kizazi kipya ndani ya ukumbi wa Mesi ya Jeshi Pemba hapa waki show love na kuruka kwanja baada ya kupagawishwa na wasanii. Kwenye mashine nilikuwa mimi. Kiufupi show ilikuwa mzuka mbayaa.. Full kukamua kwa wasanii na full kuruka kwanja mwanzo mwisho
Tuesday, February 8, 2011
VALENTINES DAY BEACH PARTY
Subscribe to:
Posts (Atom)