Wednesday, February 9, 2011

PEMBA TOUR NA JUPITERS CREW


Mimi(Dj side) Nikiwa na Producer wa Jupiter record Aron name hapa tulikuwa tanabadilishana mawazo tukiwa kwenye meli kurud zanzibar tukitokea Pemba kwenye show ambayo tuliiandaa kwa pamoja

Hapa ilikuwa full kujiachia na camera ya Dj side.. Nadhan unaona hapo. Rico singo akiwa na Mimi(Dj side) Tukijaribu kukamua picha kali .Vipi hiyo style umeipenda?

Huyu ndie mwana dada Say nag .. hapa alikuwa ubavun kwangu tukibadilishana mawazo. Say nag kwasasa anatamba na wimbo wake wa Inatosha. na ndani ya wiki hii ameachia wimbo mpya uitwao Rudi. Say nag alionekana kukubalika sana Pemba

Kumbe hata katika style kama hizi pia natoka mzuka?

There Is No Perfect Life, But we Can Fill It With Perfect Moments.
Dj side

Rico singo akiwa kwenye stage akikamua shampen wadau hapa walionekana kukubali hadi kupanda juu ya stage!

Hapa mkali rico singo akiwapeleka mchaka mchaka mashabik waliohudhuria kwenye ukumbi wa mesi ya jeshi Pemba. Rico singo ndie aliyekuwa M/c wa show. Na hapa mimi nilipanda kumtambulisha rico ili aje akamue

Umati wa wadau wa mziki wa kizazi kipya ndani ya ukumbi wa Mesi ya Jeshi Pemba hapa waki show love na kuruka kwanja baada ya kupagawishwa na wasanii. Kwenye mashine nilikuwa mimi. Kiufupi show ilikuwa mzuka mbayaa.. Full kukamua kwa wasanii na full kuruka kwanja mwanzo mwisho

No comments: