
Leo imetimia miaka 47 tangu Tanganyika na Zanzibar ziungane tarehe26 April 1964 na kuzaliwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,huku viongozi wa pande zote 2 enzi hizo Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyekua Rais wa Tanzania Bara na Hayati Sheikh Abeid Amani Karume walipotia saini makubaliano ya kuungana
No comments:
Post a Comment