Sunday, July 11, 2010

SPAIN MABIWGA WA KOMBE LA DUNIA 2010


Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini pamoja na Rais wa Fifa,Sepp Blatta wakiwa na mabingwa wapya wa Dunia mara baada ya kuwakabidhi kikombe chao cha ubingwa walioupata kwa kuifunga timu ya Taifa ya Uholanzi Goli 1-0 anablo lilifungwa na mchezaji Andres Iniesta dakika nne tu kabla ya mechi kumalizika....Spain imechukua kombe la dunia kwa mara ya kwanza. Diego FORLAN ametangazwa ndie mwanasoka bora wa Kombe la dunia baada ya kunyakua Npira wa Dhahabu, Thomas MUELLER Ametangzawa mfungaji bora wa kombe la dunia baada ya kushinda magoli 5. Pia Muller amapeta kiatu cha Dhahabu. Na hatimae kipa bora ni Iker CASILLAS baada ya kushinda clove za dhahabu

No comments: