Sunday, July 11, 2010
PAUL OCTOPUS AJIPATIA UMAARUFU DUNIANI
Hatimae yule pweza aliezua gumzo kwa utabiri wake wa Kombe la dunia .Jana amekamilisha utabiri wake wa mwisho baada ya kutabiri kwa uhakika kwamba Spain Itashinda dhidi ua uholanzi. .Kwa mujibu wa Mmiliki wa Pweza huyo amesema Poul hata tabiri tena kwani tayari ameshavunja record ya dunuia baada ya kukamilisha utabiri wake mkubwaa wa kombe la Dunia ambapo watu wengi duniani walikuwa wakiusubiria kwa hamu . Amesema kwa sasa Paul anastaafu kutabiri hata tabiri tena na sasa anatakiwa kuishi maisha mazuri zaid chini ya uwangalizi .
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment