Sunday, July 4, 2010

COOL MUZA NA VIDEO YAKE YA WANAGU WA MITAANI


Mkongwe wa Mziki wa kizazi kipya (Zenji Flava) Cool Muza ameachia video mpya ya ngoma yake inayoitwa Wanangu wa Mtaani. Katika video hiyo ameshirikiana na rapa mwingine anayeitwa Montago. Cool Muza alikuwa katika crew inayoitwa Struggling Islanders mwisho wa miaka ya tisini (wakati huo Zenji Flava inaanza kuwika).Katika video hii Pia Bingwa wa Ndondi wa Zanzibar Ashraf Suleiman nae ameweza kuuza sura akiwa katika sehem yake ya mazoezi .

1 comment:

Anonymous said...

yeah ma Man Dj Side ngoma nzuri big up bro sana tu wamejitahid tutafika kaka