Kwa mujibu wa barua tulio ipata jana kutoka bodi ya sensa wimbo huu wa bata ulioimbwa na ofside trick umepigwa marufuku kipigwa kwenye Radio ,Tv , club nk . habari kamili zinakuja soon
1 comment:
Anonymous
said...
Ni bora khasa,bado serikali ya zanzibar inajali maadili ingawa wananchi wake ndo wanapoka ki maadili,ilivyotoka audio sisi tulishajuwa khasa nini kimekusudiwa,ila walijitetea sana eti wanamzungumza bata mwenyewe,ulimbukeni bwana !!una mambo hao watoto ndo kwanza bata wamjuwe miaka hii?au ndo wamekuwa?wallah video yake huwezi ukakaa na mzee wako au watoto ukumbini ukaangalia upotofu ule wa maadili!hivi wale vijana hawana wazee?waliofanya video ile?au ndo ufakhari kujionesha kama sisi ndio watovu wa adabu?nashauri ikiwezekana serikali iwatoze hata faini iwe fundisho kwa wengine!!eti mduara lazima mambo yafichwe fichwe!!!mbona kwenye video wameyaeka bayana?nashauri watozwe faini ya maana washike adabu zao,mduara umechezwa tangu enzi za nabii luut,wao wanajuwa leo?pumbaavu zao!!!m%$#@%%&*(*&^%$#@!~.
Radio Zenji 96.8 FM is the first private radio station in the Tanzanian Isles, Zanzibar. It was officially launched on the 8th July 2005 after it went on transmission and extensive programs research, programming and recruiting process of one month from 31st May 2005. It was officially given the license by Zanzibar Broadcasting Association on the 1st of July 2005.

Post a Comment