Thursday, December 23, 2010
BABY J ALA SHAV LA DUBAI
Mwana mziki maarufu wa Zanzibar katika mziki wa kizazi kipya Zenji Flava Baby J anatarajia kuondoka leo kwa shuhuli zakimuziki zaid kuelekea Oman na Dubai.Ziara hii ya Baby J anatarajia kupiga show mbili moja itakuwa Oman siku ya tarehe 25 sikukuu ya x ms na Kumalizia Dubai kwenye shamra shamra za mwaka Mpya
Hii ni mara ya kwanza kwa Mwanamziki wa kike kwenye fani ya Zenji Flava kupata bahati ya kusafiri kwa shuhuli za kimziki kwenda Ughalibuni . Baby J kwa sasa anatamba sana kwa wimbo wake Uitwao Niache ambao ameshirikina na a na Udeude ... Baby J ni mwana dada mwenye sauti ya mvuto na yeye ni nguvu ya kudumu katika sekta ya muziki hapa Zanzibar.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment