Sunday, December 12, 2010

BEERY KUPEPERUSHA BENDERA YA ZNZ UJERUMANI


Janaa jamaa (Berry Black)ndo amechukuwa Pipa mida ya kama saa 6 hv .. nilipokea sim kutoka kwa Berry black akinambia hivi.. Dj side Mambo vipi? Nikamjibu poa niaje? Shwari mzazii. Akaniambia Dj nakuwaga naondoka sasa na ndege ya muda huu naenda ujeruman na ntakuwa na tour ya nchi kama 4 .. Nikamuuliza mbona haflaa? Akaniambia aa sio haflaa bt sikutaka hizi habari zitoke kwanza .So ntakuwa huko mpaka new year .. Nikamuuliza show ya Dubai vipi coz mlitakiwa yew year ndio muwe Oman na Dubai kulikoni? Berry akanijibu ni kweli Bt mimi sitakwendaa . Mimi ntakuwa huku so nadhan Kina Baby J na wasanii wengine ndio wataenda Dubai..

Kila la kheri kaka Tangaza mziki wetu wa Zenjiflava ....Tunakutakia mafanikio mema.

No comments: