Tuesday, December 14, 2010

UJEMBE KUTOKA KWA BERRY BLACK



MKUBWA HABARI,TAYARI NIMEWASILI KATIKA NCHI YA GERMAN IKIWA NI NCHI YA MWANZO NITAKAYOANZIA SHOW ZANGU AMBAZO NITAFANYA KUZUNGUKA EUROPE [BERRYBLACK EURO TOUR 2010/2011) ,NIMEWASILI HAPA JANA JIONI NA JAMAA WAMENIPOKEA FRESH SANA,SHOW NITAANZA MWISHO WA WIKI HII HAPA GERMAN THEN ZITAENDELEA NCHINI SWITZERLAND,HOLLAND,BELGIUM,ITALY GREECE,SWEDEN NA KWINGINEKO! MATANGAZO ZAIDI NITAKUTUMIA MKUBWA WANGU.

SALAAM KWA WOTE & HONGERA KWA KILIMANJARO STARS KWA USHINDI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!


No comments: