Friday, August 20, 2010

FAN KISS HUU NDO MUDA WAKE WA KULA BATA


Mchizi hii ndo ngoma yake ya kwanza ngoma imetengenezawa pale Jupiter record na Aron name. Katika ngoma hii mchizi amefanya na Baby J ambae ameitendea haki ngoma hii. Juzi nilikuwa studio Jupiter nilikuwa nasikiliza ngoma mpyaa . Pia nilipata kusikiliza ngoma mpya ya Rico singo akiwa na Ay hii ngoma ntaizungumza j4 bt kubwa ni juu ya huyu kijana Fan kiss . I say? amefanya bonge moja la ngoma kuliko hii .Ngoma bado haijapewa jina amefanya na Producer aron. I say ngoma kali sana. Itabamba tuu kuliko hii. Stay tune ntaweka sample hapa uisikie soon tu

FAN KISS KWENY VIDEO TAKE YOU DOWN FT BABY J

2 comments:

Anonymous said...

Sounds like Zenji has alot to promise. I will be back in the yard to turn the ability & possibility into a reality.

Anonymous said...

akaze buti huyo kijana,mapambano ya ki music ni magumu sana coz vijana wengi wanadhani kazi ya music ndo haina qualification,ukitamani tu unaweza hivi ni kweli?video yake ni nzuri ila audio quality is poor,au utoto mwingi,au niseme mwigo umezidi kusudio khasa.mmmmhhh!haya.vijana tusikurupuke kufanya music,is better kwanza tukajifunza music,na production kwanza ilivyo,hiyo audio kaka!!!full distortion kwa mwenye sikio la tatu kuisikiliza,kwa wengine tunaambiwa very good mmmhhh!!!gemu zitooo nduguuu kaza wewe producer aron name,hiyo tunzo ni ya kijijini tu usijipweteke.