mmmh,hapa ndio napata picha na utofauti baina ya mwanamuziki na msanii,huyo barry black ni msanii,na msanii mnamjuwa vizuri?hata yule tapeli anaewazunga watu kwa maneno ili apate hela si anaitwa msanii?kwanini kaitwa msanii tujiulize?kwa kutumia ufundi wake wa maneno mpaka mtu anaingia line,ni sawa na huyo barry black anavyowafanyia wananchi wa huko zenj,msanii gani ana style moja tu ya kuimba?kila beat taakuu taaaku takuuu takuuu!anajidanganya sana,nawashauri wajirudi na mwenzie wajipange upya,kwanini ile nyimbo aliyoifanya alaan mapigo nataka kuwa nawe imekuwa ya ukweli sana?coz mapigo ni producer khasa,sasa huyo barry black keshajiona anaujuwa music,kajifunza wapi?kaoteshwa?basi ki style hiyo kila mtu msanii na hakuna asiyeweza kuimba kama anavyofanya yeye.ki ufupi khasa tushamchoka atafute kazi ya kufanya,atawadanganya watoto wasiojuwa music ni nini,au aende dhow country music academy akajifunze.aaisssee tushamchokaaa.
Utakuja kusikia atakapoambiwa ukweli etii binaadamu bwana!wana jealousy kinoma coz nnabamba ile mbaya nikuulize wewe unaefatilia mziki wa ki zenj,ushamsikia barry black akiimba style nyengine?hata mashairi yake ya kitoto,beat zake zile zile,utoto mwingi,nashauri hizo nyimbo akazisikilize na nduguze nyumbani,kwanini hana washauri wanamuziki?ndipo nikasema keshajiona anajuwa kumbe hamna lolote,nyimbo ndio ile ile aliyoifanya na mwenziwe barry white,mi nataka kuwa na wewe,hajuwi umoja ni nguvu?au penye wengi hapaharibiki neno?kazi kwake.
Radio Zenji 96.8 FM is the first private radio station in the Tanzanian Isles, Zanzibar. It was officially launched on the 8th July 2005 after it went on transmission and extensive programs research, programming and recruiting process of one month from 31st May 2005. It was officially given the license by Zanzibar Broadcasting Association on the 1st of July 2005.
2 comments:

Post a Comment