Tuesday, February 23, 2010

FULL MOON PARTY ONCE AGAIN


We are at Moon this Saturday!! Full moon party ever!! . The speakers will be smoking. Starting at 2pm DJ Side from Zenjifm fm will be entertaining you at the decks. Get ready for 10 hours of house, deep house, funky house, breaks, hip-hop, lounge, you name it, we will have all the time in the world to spin it!
Moon is setting us up by the pool next to a specially set cocktail bar. Drink specials will be available so get your swim suit, sun lotino and appetite for beats and meet us at Kendwa Rock Beach Hotel Saturday

Full moon party Imewadia tena .. Ni Ijumamosi hiii Spika zitaanza kufuka moshi kianzia 2pm Dj side kutoka zenjifm atawapa burudani mwanzo mwisho.. Kaa tayari kwa burudani ya masaa 10 bila ya kuchoka… Burudani zote house hip hop , dancehall bongo flava bila kusahau reggae ….Mpaka basiiii… vinyaji vya aina zote vitapatikana cheza mpaka basi burudika mpaka mwisho… Tukutane basi Siku ya Jumamosi ya tarehe 27th Feb/2010. ndani ya Kendwa rock hotel ,,,,,,, Karibu uonyeshe Upendo nasi..
FLAVA DJS MORE THAN DJS

Sunday, February 21, 2010

SEAN KINGSTON KUKAMUA DAR DIAMOND JUBILEE


Kisean Jamal Anderson aka Sean Kingston anatarajiwa kutua dar siku za hivi karibuni kwa ajili ya Makamuzi ya utoaji tuzo Kilimanjaro Tanzania Music Awards inayotarajiwa kufanyika 14th na15th mwezi May jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Diamond Jubilee. Sean Kingston ataambatana na wakali kazaa katika kuupamba usiku huo wa Tuzo. Mkali huyo ambae alitesa sana na pini lake "Beautiful Girls katika album yake ya awali . Na hatimae kuachia "Fire Burning"na "Face Drop" ambazo zote zinapatikana katika album yake mpyaa iitwayo Tomorrow .Kwa sasa mchizi anaumiza vichwa vya watu.. kwani yuko juuu…. Haya kaka karibu Tanzania.. Basi japo Uje unywe maji tu Ztown City .

Thursday, February 18, 2010

HAPPY BIRTHDAY SISTER GRAC


Wadau wa blog hii nimepata ujumbe kwenye email yangu kuwa kesho tarehe 19 ni birthday na Dadayetu Grac kindo mwananada ambae kwa sasa anawashika wana jamii na kipindi chake cha karakati za wanawake kinachorushwa na Zenjifm. Habari nyepesi nyepesi nasikia party itakuwa nyuki club.......Hongeara dada

May this year be your best ever.

I hope all your birthday dreams and wishes come true.

Not just a year older, but a year better.

Here's to another year of experience.

A simple celebration, a gathering of friends; here is wishing you great happiness, a joy that never ends.

A birthday is just the first day of another 365-day journey around the sun. Enjoy the trip. Happy birthday to you

Wednesday, February 10, 2010

BEBE COOL ATAKA ALIPWE FIDIA YA SHILING MILION MIA NNE


Mwanamuziki Moses a.k.a Bebe cool amefunguwa kesi ya madai kiasi cha shillingi millioni mia nane ya Uganda kama fidia. Bebe Cool pamoja na walinzi wake walipigwa risasi hivi karibuni baada ya kuzuka vurugu baina yao na polisi.

Msanii huyo amedai kuwa serikali ndio inawajibika kwa vitendo vya polisi hao. Madai hayo yameandikwa kuwa msanii huyo anategemea maonyesho yake kupata kipato chake na kwa kuwa inawezekana akakaa kitandani kwa muda wa miezi sita na

Monday, February 8, 2010

SPECIAL VALENTINES DAY IN KENDWA ROCK FLAVA DJS IN DAHOUSE


Special Valentines day in Kendwa rock . Saturday 13th Fed 2010. Theme Red &White – Dress to Impress. Prizes for the best Dress Couple . Enjoy Dinner in Beautiful romantic setting, Buffet Dinner on the Sound of the Coconut Band . Ladies Free Men 5000 Entrance . Dj side From Flava Djs Zenjifm sharing a whole lotta love ...Dj mukada and Dj Siger from Kendwa rock will play lovers rock tune.. Come share the lovE with Us
FLEVA DJS MORE THAN DJS

Sunday, February 7, 2010

LUTEN KALAMA ASEPA TUNDUNI


Mchiz ambaye mwanzo alikuwa katika kundi la Gangwe Mob na baadaye kijiunga na kundi la TMK WANAUME kabla ya kusambaratika na kuhama na Juma Nature sasa na amesepa tena na hayupo tena na kundi hilo.

Sababu kubwa iliyomfanya Luten kusepa ni mkwanja anasema haoni faida ya kuwa na kundi kwa sababu hakuna chochote anacho kipata sasa imebidi afanye kazi mwenyewe labda mafanikio yatakuja kwa njia hiyo

Friday, February 5, 2010

PROPAGANDA YA FID Q KITAANI Feb 25!!


Albamu ya Fid Q yenye jina la Propaganda itaingia mitaani tarehe 25 February siku 11 baada ya siku ya wapendanao.

Fid Q amesema hayo alipotambulisha kasha la Albamu hiyo kwa mashabiki na washkaji kwenye ukurasa wake wa Facebook.

“…itakuwa madukani tarehe 25 februari.. tafadhali msilale” ilisema sehemu ya maelezo ya picha hiyo toka kwa Fid Q akiwaambia fun wake. Haya tena wale mliokuwa mnaingoja kwa hamu Albamu ya Mkali ndio hiyo.

ALBUM YANGU MPYA IPO TAYARI FEROUZ


Ferooz msanii aliyesumbua na nyimbo zake kibao kwa hapa bongo hadi kwenye mipaka ya TZ amesema baada ya kutoa video ya mpya ya Rusha kila kipindi anategemea kutoa video yake nyingine ya wimbo wa Mr. Policeman.
Kwa sasa Ferooz bado yupo kwenye tour ya kuitangaza album yake ya SAUTI NA VYOMBO ndani ya nchi na nje ya nchi, kwa wiki hii atakuwa Geita na sehemu zingine za kanda ya ziwa na anategemea kuingiza sokoni album yake mpya ambayo atawatajia jina la album soon..

Wednesday, February 3, 2010

JEE? NI KWELI VICHECHE WASIOPENDA MAENDELEO YA HAS J NDIO WALIO MVUNJA MGUU?


Katika kile kinachoonekana kuwa ni bif, mtangazaji wa zamani wa Coconut fm Has J amechonga live na blog ya kijanja ya the crush.

Katika maelezo mchizi ameeleza kuwa siku ya tukio alikuwa akitoka katika ukumbi wa gymkhana akiwa na Berry Black na washakaji wengine.

Katika mazungumzo yake na blog hii ameeleza kuwa wakati akishuka katika usafiri mitaa ya michenzni ambapo hapo ni karibu na kwao kijana mmoja alimtaja kwa jina la Dill alimvamia kwa kumpiga teke la mguu wake wa kulia

Baada ya kitendo hicho Has J anasema kuwa aliamua kumdhibiti yule kijana lakini kutokana na kijana yule kuwa na washakaji zake, alitokea mtu mwengtine ambae alimkaba na wakashirikina kumpiga.

Baada ya Tafrani hizo Has J anasema kuwa alielekea nyumbani kwao kujipumzisha ambapo wakati huo hakuhisi maumivu ya aina yoyote lakini baada ya kulala na kuamka
ndipo alipoanza kuhisi maumivu makali katika goti lake.

Aidha Has J anasema kuwa baada ya kujiona yupo katika hali hiyo ndipo familia yake ilipoamua kumpeleka hospitali kufanyiwa uchunguzi na kupatiwa Matibabu

Mpango mzima wa hii kesi kwa sasa imesharipotiwa katika vyombo vya sheria na uchunguzi zaidi unendelea.
Has J ambae anonekana akiwa na Pio pio mguuni kwake . amesema yote hayo sababu ni beef na choyo kilichowajaaa washkaj zake .. Kwasasa anaendelea vizuri akiwa anapata matibabu.


Has J akiwa na mimi ndani ya studio za Zenjfm wakati anatuhadithia mpango mzima juu ua skedo ambayo imemkuta .

Tuesday, February 2, 2010

HAS J APIGWA HADI KUVUNJWA MIGUU


Katika hali isoyoeleweka Usiku wa kuamkia jumapili Has J alichezea kichapo kibaya Maeneo ya michenzani na watu wasiofahamika hadi kuvunjwa miguuu , Sababu hasa ya kichapo hicho hadi sasa hakijulikani . Alipoulizwa Has J Kuhusiana na suala hili alijubu "Player haters dnt like my swaggers" akimaanisha Vicheche wenye chuki hawapendi maendeleo yake .

FLAVA DJS NA FULL MOON PARTY NDANI YA KENDWA ROCK



Hapa ni mimi Mtu mzima (Dj side) nikiwazinguwa wadudu wa kizungu kwenye Mic than Nikaanza makamuzi kwa Ngoma kali iliofanya watu wapige keleleeeeeee. Say Yeeeeeeeh yeeeeeehh I say ilikuwa more fire Nikadondosha kitu cha Rise up - Yves larock Uspimeeeee!!!!! Hapo ni mikandamizo mpaka msuaki kikosi kimevamiaaa


Dj Eddy aka Mkazuzu.. Hapa Dj Eddy alipanda mzuka baada kusikia ngoma za haja zilizodondoshwa na Flava Djs . Mkazuzu alikuja hafla kwenye sehem ya Dj na kutaka kukamua . Kuingia tu mtu mzima kaanza na Black Eyed Peas - I Gotta Feeling ngoma ambayo iliwanyanyua wanyamwez na kujaza Dance floor... Dj Eddy aka Mkazuzu

Dj mukada kwenye moja na mbili akiwa bizeee kuset mambo ndani ya Mkesha wa Full moon pary Kendwa rock . Dj mukada ni Dj wa mda mrefu ambae alishawahi kufanya kazi na Dj Boni love . Kwasasa Mukada ameajiriwa Kendwa rock kama ni Dj wa Hotel

MAMBO YA FULL MOON NDANI YA KENDWA ROCK NA FLAVA DJS

Huyu ndie Kijana aliekorofisha msosi kwa ajili ya Wageni ndani ya kendwa rock kwenye mkesha wa Full moon party. Hapa akiwa jikoni akiset mamboozzz

Mtu mzima akirekebisha mambo ya Msosi kwa ajili ya Kikosi cha Flava Djs

Mambo ya Msosi aka kujipendelea ilikuwa kama hivi kila mtu anaenda kupakua anachotaka kwenye meza. Plate za nguvu . Full moon party ndani ya kendwa rock na Flava Djs


Mambo ya msosi hayo kwa Upande wa nyama choma ilikuwa kama hivi

Warembo wakipata msosi wa nguvu kwenye ufukwe wa Nugwi . Ndani ya Hotel ya Kendwa rock . Aziza aka Az weee na Amina chengo aka Emy C . Full moon party na Flava Djs

Dj side kwenye Pozi na Mrembo wa Zenjifm Amina chengo wakiwa na Msanii maarufu wa kizazi kipya Rico singo. ndani ya Full moon party kendwa rock

Watangazaji wa Zenjifm Kushoto ni Aziza Wazir Kheri ambae huwa anafanya kipindi cha Indian Flava akiwa sambamba na Msanii wa Kizazi kipya Rico Single akiwa katikati . Kulia ni Emy C Pia ni Mtangazaji wa Zenjfm ambae anatesa na show yake ya Zenji mid mornig mix . Hii ilikuwa full kujiachia ndani ya Hotel ya Kendwa rock Wiki iliopita