Friday, February 5, 2010
ALBUM YANGU MPYA IPO TAYARI FEROUZ
Ferooz msanii aliyesumbua na nyimbo zake kibao kwa hapa bongo hadi kwenye mipaka ya TZ amesema baada ya kutoa video ya mpya ya Rusha kila kipindi anategemea kutoa video yake nyingine ya wimbo wa Mr. Policeman.
Kwa sasa Ferooz bado yupo kwenye tour ya kuitangaza album yake ya SAUTI NA VYOMBO ndani ya nchi na nje ya nchi, kwa wiki hii atakuwa Geita na sehemu zingine za kanda ya ziwa na anategemea kuingiza sokoni album yake mpya ambayo atawatajia jina la album soon..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment