Friday, February 5, 2010

PROPAGANDA YA FID Q KITAANI Feb 25!!


Albamu ya Fid Q yenye jina la Propaganda itaingia mitaani tarehe 25 February siku 11 baada ya siku ya wapendanao.

Fid Q amesema hayo alipotambulisha kasha la Albamu hiyo kwa mashabiki na washkaji kwenye ukurasa wake wa Facebook.

“…itakuwa madukani tarehe 25 februari.. tafadhali msilale” ilisema sehemu ya maelezo ya picha hiyo toka kwa Fid Q akiwaambia fun wake. Haya tena wale mliokuwa mnaingoja kwa hamu Albamu ya Mkali ndio hiyo.

No comments: