Huyu ndie Kijana aliekorofisha msosi kwa ajili ya Wageni ndani ya kendwa rock kwenye mkesha wa Full moon party. Hapa akiwa jikoni akiset mamboozzz
Mtu mzima akirekebisha mambo ya Msosi kwa ajili ya Kikosi cha Flava Djs
Mambo ya Msosi aka kujipendelea ilikuwa kama hivi kila mtu anaenda kupakua anachotaka kwenye meza. Plate za nguvu . Full moon party ndani ya kendwa rock na Flava Djs
Mambo ya msosi hayo kwa Upande wa nyama choma ilikuwa kama hivi
Warembo wakipata msosi wa nguvu kwenye ufukwe wa Nugwi . Ndani ya Hotel ya Kendwa rock . Aziza aka Az weee na Amina chengo aka Emy C . Full moon party na Flava Djs
Dj side kwenye Pozi na Mrembo wa Zenjifm Amina chengo wakiwa na Msanii maarufu wa kizazi kipya Rico singo. ndani ya Full moon party kendwa rock
Watangazaji wa Zenjifm Kushoto ni Aziza Wazir Kheri ambae huwa anafanya kipindi cha Indian Flava akiwa sambamba na Msanii wa Kizazi kipya Rico Single akiwa katikati . Kulia ni Emy C Pia ni Mtangazaji wa Zenjfm ambae anatesa na show yake ya Zenji mid mornig mix . Hii ilikuwa full kujiachia ndani ya Hotel ya Kendwa rock Wiki iliopita
Tuesday, February 2, 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment