Tuesday, February 2, 2010

FLAVA DJS NA FULL MOON PARTY NDANI YA KENDWA ROCK



Hapa ni mimi Mtu mzima (Dj side) nikiwazinguwa wadudu wa kizungu kwenye Mic than Nikaanza makamuzi kwa Ngoma kali iliofanya watu wapige keleleeeeeee. Say Yeeeeeeeh yeeeeeehh I say ilikuwa more fire Nikadondosha kitu cha Rise up - Yves larock Uspimeeeee!!!!! Hapo ni mikandamizo mpaka msuaki kikosi kimevamiaaa


Dj Eddy aka Mkazuzu.. Hapa Dj Eddy alipanda mzuka baada kusikia ngoma za haja zilizodondoshwa na Flava Djs . Mkazuzu alikuja hafla kwenye sehem ya Dj na kutaka kukamua . Kuingia tu mtu mzima kaanza na Black Eyed Peas - I Gotta Feeling ngoma ambayo iliwanyanyua wanyamwez na kujaza Dance floor... Dj Eddy aka Mkazuzu

Dj mukada kwenye moja na mbili akiwa bizeee kuset mambo ndani ya Mkesha wa Full moon pary Kendwa rock . Dj mukada ni Dj wa mda mrefu ambae alishawahi kufanya kazi na Dj Boni love . Kwasasa Mukada ameajiriwa Kendwa rock kama ni Dj wa Hotel

No comments: