Sunday, February 7, 2010

LUTEN KALAMA ASEPA TUNDUNI


Mchiz ambaye mwanzo alikuwa katika kundi la Gangwe Mob na baadaye kijiunga na kundi la TMK WANAUME kabla ya kusambaratika na kuhama na Juma Nature sasa na amesepa tena na hayupo tena na kundi hilo.

Sababu kubwa iliyomfanya Luten kusepa ni mkwanja anasema haoni faida ya kuwa na kundi kwa sababu hakuna chochote anacho kipata sasa imebidi afanye kazi mwenyewe labda mafanikio yatakuja kwa njia hiyo

No comments: