Habari yako mdau wa blog hii.. Natumai Unatembela ili upate unachokitaka . Tuwasiliane bc . Kama ni msanii basi nitumie Picha yako au nyimbo yako Ili Niweke kwenye blog. Na kama una ushauri wowote kuhusu blog hii bc niandikie tu TUWASILIANE Email yangu ni
djside_dj@yahoo.com
1 comment:
HEY DJ SIDE,
NAITWA SAADA AMOUR BARWAAN, NI MSIKILIZAJI MZURI WA VIPINDI VYENU HAPO, NAPENDA MUANGAZA WA HABARI NA THE CRUSH,ILA KWENYE UTANGAZAJI NAOMBA MUBADILIKE, KWA MFANO KAMA REDIO ZA BONGO HUWASIKII KUSEMA "Mpenzi Msikilizaji" KAMA WANATANGAZA MPIRA, BADALA YAKE HUWA WANATUMIA "Mjanja ambae unasikiliza redio kwa sasa" imean i hate this "MPENZI MSIKILIZAJI"
VILE VILE WATANGAZAJI WENGINE WAWE CALM SIO SAUTI KALIIIIIIII
Post a Comment