Thursday, June 3, 2010

DOWNLOAD A BOYS NEW SHITTTTTTT


Download NIPE CHORUS - ABOYS

A boys jana wameachia ngoma mpyaa Iitwayo Nipe chorus . Ngoma hii imetengenezwa jupiter record na producer Aron name. A boys wameniambia ngoma hii hawajamshirikisha mtu. Wamefanya wao kama wao ili kuthibitisha mashabki wao kama wanaweza . Hii ni ngoma ya kwanza kutoka tokea walipo mtimua J I mzee wa kidato kimoja. Awali ya hapo walitio ngoma 3 ambazo zote zilifaya vizuri znz.

No comments: