Thursday, June 10, 2010

HII I LINIACHA HOI KWELI


Huyu ndie kijana aliewashangaza watanzania baada ya kuruka senyenge za uwanja wa Taifa na kuingia uwanjani kwenda kumpiga Hug mchezaji wa Brazil KAKA . watu walishangaa sana kwani haikujilikana kwa hafla jama katokea kwa wapi. hafla yupo uwanjani wakati bado soka inaendelea kupigwa ..Yeye alitaka kumpa Hug kaka tu basi ili atimize ndoto zake.

No comments: