Sunday, June 13, 2010

TUKO PAMOJA - ZANZIBAR ALLSTARS VIDEO


Haya wadau kitu hicho kutoka nyumbani Zanzibar.. Baada ua makubaliano kati ya Rais wa Zanzibra na Seif sharif hamadi juu ya mstakbali wa ZANZIBAR.hatimae haya ndio matunda yake. Wasanii wakubwa wakizazi kipya kwa moyo mmoja wameamua kushirikiana na kutengeneza wimbo huu kwa ajili ya kuhamasisha kuwa ZANZIBAR NI MOJA .Nyimbo hii imetengenezwa pale jupiter record na Producer
Alonem, Wasanii walioshiriki ni pamoja na Sultan king,Juma 20,Dorica,Rico Single,Didah,Berry Black,Baby Jay, Pamoja na Huza man

No comments: