Monday, June 7, 2010
TAIFA STARS YAKANDAMIZWA MISUMARI MITANO NA BRAZIL
Mashabi wa soka wakiwa wamesimama wakati wa wimbo wa Taifa wa Brazil na ule wa Tanzania uliokuwa ukisumbuaa na kutaka kugoma kuendelea mbele ya Rais Kikwete na kupelekea mashabiki kuaza kuzomea maandalizi mabovu ya TFF kuwa wameendekeza tamaa ya fedha kwa kuweka vingilio vikubwa na kushindwa kujiandaa vya kutosha... Taifa
stars imekandamizwa misumari 5 kwa moja
Huyu ndie kijana kiboko ya Watanzania alipasua katikati ya uwanja kwa ajili ya kumpa 5 mchezaji wa brazili kaka.... Jamaa alinishangaza sana. maana hata haikujilikana ametokea wapi. hafla anaonekana yupo katikati ya kiwanja hata sijui kapenyea wapi...kutoka tu FFU wamemnyakaa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment