Sunday, February 21, 2010

SEAN KINGSTON KUKAMUA DAR DIAMOND JUBILEE


Kisean Jamal Anderson aka Sean Kingston anatarajiwa kutua dar siku za hivi karibuni kwa ajili ya Makamuzi ya utoaji tuzo Kilimanjaro Tanzania Music Awards inayotarajiwa kufanyika 14th na15th mwezi May jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Diamond Jubilee. Sean Kingston ataambatana na wakali kazaa katika kuupamba usiku huo wa Tuzo. Mkali huyo ambae alitesa sana na pini lake "Beautiful Girls katika album yake ya awali . Na hatimae kuachia "Fire Burning"na "Face Drop" ambazo zote zinapatikana katika album yake mpyaa iitwayo Tomorrow .Kwa sasa mchizi anaumiza vichwa vya watu.. kwani yuko juuu…. Haya kaka karibu Tanzania.. Basi japo Uje unywe maji tu Ztown City .

2 comments:

Anonymous said...

this is good,kip it dude!!!

Anonymous said...

Thats guds dude!!