Wednesday, June 2, 2010

BERRY WHITE ASEMA TUMEUNGA URAFIKI TU NA BERRY BLACK


Baada ya habari kuzagaa kuwa hawa jamaa wa 2 berry wameungana tena ilinibidi nimtafute Berry white ili atupatie hizi habari za kiundani zaidi ..Lengo langu niwaafute wote wawili but kwa bahati mbaya Berry black amefiwa na dada yake wa kifamilia , Dada wa msanii T gway ndie aliefariki dunia ,sasa ilikuwa ngumu kumtafuta berry black kwani yupo kwenye msiba. Hata hivyo nilibahatika kuongea na Berry white na aliniambia hivi .

Nikweli Dj side tulikuwa na bifu kubwaa ambalo limedumu muda ya miaka 4. Ilikuwa nuksi tupu. Kwani tumegundua ugomvi wetu unaleta nuksi tu baina yetu. Sisi sote tumeona haina haja ya kuendeleza bifu. kwani kulikuwa na bifu mpaka kwa mashabiki zetu.Yeye na Shabiki wake na mimi na mashabiki zangu .. Juzi Beery alikuwa anazindua Album yake ambayo imesimamiwa na Bosi wangu G lava. sasa Bosi ndio kaniita Nikampe suport jamaa Mi nikaona haina neno Poa tu . Ndio tukakaa na kuzungumza . Tumeamua kundoa tofauti zetu Kwa sasa Tuko poa Si kama paka na chui kama zamani

Mimi nilimuuliza berry white kuwa kurudiana kwao ni kurudisha tena kundi la 2 beery au wameunga urafikia tu..?

Beery alinijibu kwa kusema Tumeunga urafiki tu Dj side--- Hatuko kama 2 beery Hapana . Bifu tu ndio basi tunaongea kama kawaida. bt kila mtu anafanya kazi kivyake .

Nikamuuliza jee uko tayari kurudisha kundi la 2 beery?

Beery alijubu No Dj side-- Kwa sasa bado kidogo kwani mimi nina album yangu mpaka nizindue na nimalize project zangu ndio Tukae na kungelea masuala hayo ya kundi.

but kwa sasa bado sana . Nashuhulikia album yangu kwanza . Tayari misharikodi ngoma kama 17 na album yangu itakuwa na ngoma kumi na 4 .

Nilimuuliza kuhusu jina la album yake aliiambia Bado hajaamua aite jina gani lakini mashaki na marafiki zake wanataka album aite hivyo hivyo jina lake Beery white .

Haya wadau . habari ndio hiyo . Jee unafikiri watakubaliana hwa kuliunda upyaa kundu la 2 beery? Inawezekana? maoni muhim..

2 comments:

Anonymous said...

hamjatulia nyie...nafikiri ni kwa sababu nyote mulikimbia shule, hamwishi kugombana na kupatana, au munaogopana?

Anonymous said...

NICE KUPATANA, LKN HAMUNA HAJA YA KURUDISHA KUNDI TENA. OTHER WISE MUWE HAMUWEZI TENA KUIMBA MMOJA MMOJA...