mkubwa Dj SIDE, sisi tulioko huku mbali nyimbo nyingi za zenji hatuzipati kwenye mitandao, ni za bongo tu na za wakali wa zenji kama Berry black,offside,baby j,AT na ambao mara nyingi hufanyia kazi zao dar so tuekeeni, Ntashukuru nkiisikia 'JUISI YA TENDE' na za mshkaji IT na wasanii kibao chipukizi. NICE WORK
berry black use to be a good artist lakini niliposikia hiyo ishu ya kuroga wenziwe nimeshusha kwa asilimia kubwa, mara naskia na huu wimbo amegeza beat, wasanii munaenda wapi? mbona hao p square hawawagezi nyinyi? acheni kulemaza vichwa
Tokea nilipoanza kusikia berry amegombana na T guay kisa mambo yake ya ushirikina nimeishiwa nguvu nae, naomba aache tabia hizo kwani game inampenda, na hizo tabia wanafanya washamba waliokua hawajapitia shule, jitahidi BB..
Nilishangaa sana mwaka jana mulipompa matunzo yooooooooote berry black, hivi hawa majaji wa music awards huwa hawawajui wasanii wenye kutunga kazi zao wenyewe bila kuiba beat za watu? haya basi, na mwaka huu mkusanyieni mumpe hizo tunzo
Radio Zenji 96.8 FM is the first private radio station in the Tanzanian Isles, Zanzibar. It was officially launched on the 8th July 2005 after it went on transmission and extensive programs research, programming and recruiting process of one month from 31st May 2005. It was officially given the license by Zanzibar Broadcasting Association on the 1st of July 2005.
8 comments:
mkubwa Dj SIDE,
sisi tulioko huku mbali nyimbo nyingi za zenji hatuzipati kwenye mitandao, ni za bongo tu na za wakali wa zenji kama Berry black,offside,baby j,AT na ambao mara nyingi hufanyia kazi zao dar so tuekeeni,
Ntashukuru nkiisikia 'JUISI YA TENDE' na za mshkaji IT na wasanii kibao chipukizi.
NICE WORK
nASKIA JAMAA NAE ANAZO ZA KUIBA BEAT..
berry black use to be a good artist lakini niliposikia hiyo ishu ya kuroga wenziwe nimeshusha kwa asilimia kubwa, mara naskia na huu wimbo amegeza beat, wasanii munaenda wapi? mbona hao p square hawawagezi nyinyi? acheni kulemaza vichwa
RIQAMA SUSTENUS- bongo
berry inasikitisha kusikia umekua mtu wa kuwapiga majuju wenzako, acha, haitakusaidia mbele huo, kaza buti, wimbo wako huu mzuri..
MUSSA SHAALI- zanzibar
wimbo mzuri nimeupenda, ila kaza buti zaidi ktk mashairi, sio kila siku nakupenda, mimi berry, sijui njoo, tunataka kusikia vitu vipya sio nakupenda nakupenda njoo njoo, jikaze ktk lyrics, andika maneno adimu na matamu.
SALMA PETER- MWANAKWEREKWE
WIMBO MBAYA, MASHAIRI MABAYA, BEAT AMEIBA KWA J MARTINS, OVYO!
Tokea nilipoanza kusikia berry amegombana na T guay kisa mambo yake ya ushirikina nimeishiwa nguvu nae, naomba aache tabia hizo kwani game inampenda, na hizo tabia wanafanya washamba waliokua hawajapitia shule, jitahidi BB..
Nilishangaa sana mwaka jana mulipompa matunzo yooooooooote berry black, hivi hawa majaji wa music awards huwa hawawajui wasanii wenye kutunga kazi zao wenyewe bila kuiba beat za watu? haya basi, na mwaka huu mkusanyieni mumpe hizo tunzo
CHAI JABA-Kwahani
Post a Comment