Wednesday, April 14, 2010

DOWNLOAD BERRY BLACK NEW SONG


Direct Link to Downlaod. RADIO PROMO http://usershare.net/w8l7un3ntknf - NJOO - BERRY BALCK FT SHIRKO

8 comments:

Anonymous said...

mkubwa Dj SIDE,
sisi tulioko huku mbali nyimbo nyingi za zenji hatuzipati kwenye mitandao, ni za bongo tu na za wakali wa zenji kama Berry black,offside,baby j,AT na ambao mara nyingi hufanyia kazi zao dar so tuekeeni,
Ntashukuru nkiisikia 'JUISI YA TENDE' na za mshkaji IT na wasanii kibao chipukizi.
NICE WORK

Anonymous said...

nASKIA JAMAA NAE ANAZO ZA KUIBA BEAT..

Anonymous said...

berry black use to be a good artist lakini niliposikia hiyo ishu ya kuroga wenziwe nimeshusha kwa asilimia kubwa, mara naskia na huu wimbo amegeza beat, wasanii munaenda wapi? mbona hao p square hawawagezi nyinyi? acheni kulemaza vichwa

RIQAMA SUSTENUS- bongo

Anonymous said...

berry inasikitisha kusikia umekua mtu wa kuwapiga majuju wenzako, acha, haitakusaidia mbele huo, kaza buti, wimbo wako huu mzuri..

MUSSA SHAALI- zanzibar

Anonymous said...

wimbo mzuri nimeupenda, ila kaza buti zaidi ktk mashairi, sio kila siku nakupenda, mimi berry, sijui njoo, tunataka kusikia vitu vipya sio nakupenda nakupenda njoo njoo, jikaze ktk lyrics, andika maneno adimu na matamu.

SALMA PETER- MWANAKWEREKWE

Anonymous said...

WIMBO MBAYA, MASHAIRI MABAYA, BEAT AMEIBA KWA J MARTINS, OVYO!

Anonymous said...

Tokea nilipoanza kusikia berry amegombana na T guay kisa mambo yake ya ushirikina nimeishiwa nguvu nae, naomba aache tabia hizo kwani game inampenda, na hizo tabia wanafanya washamba waliokua hawajapitia shule, jitahidi BB..

Anonymous said...

Nilishangaa sana mwaka jana mulipompa matunzo yooooooooote berry black, hivi hawa majaji wa music awards huwa hawawajui wasanii wenye kutunga kazi zao wenyewe bila kuiba beat za watu? haya basi, na mwaka huu mkusanyieni mumpe hizo tunzo

CHAI JABA-Kwahani