Friday, December 31, 2010



THE CRUSH 2011

My wishes for you,
Great start for Jan,
Love for Feb,
Peace for March,
No worries for April,
Fun for May,
Joy for June to Nov,
Happiness for Dec,
Have a lucky and wonderful 201

Sunday, December 26, 2010



The crush 2010 Wish You A...Great, Prosperous, Blissful, Healthy, Bright, Delightful, Mind Blowing, Energetic, Terrific & Extremely ...HAPPY NEW YEAR 2011 The crush 2011

Thursday, December 23, 2010

BABY J ALA SHAV LA DUBAI


Mwana mziki maarufu wa Zanzibar katika mziki wa kizazi kipya Zenji Flava Baby J anatarajia kuondoka leo kwa shuhuli zakimuziki zaid kuelekea Oman na Dubai.Ziara hii ya Baby J anatarajia kupiga show mbili moja itakuwa Oman siku ya tarehe 25 sikukuu ya x ms na Kumalizia Dubai kwenye shamra shamra za mwaka Mpya
Hii ni mara ya kwanza kwa Mwanamziki wa kike kwenye fani ya Zenji Flava kupata bahati ya kusafiri kwa shuhuli za kimziki kwenda Ughalibuni . Baby J kwa sasa anatamba sana kwa wimbo wake Uitwao Niache ambao ameshirikina na a na Udeude ... Baby J ni mwana dada mwenye sauti ya mvuto na yeye ni nguvu ya kudumu katika sekta ya muziki hapa Zanzibar.

Wednesday, December 22, 2010

ZIFF KUSABABISHA ZNZ MKESHA WA MWAKA MPYA


Ndugu zetu wadau wa kiwanda cha filamu Tanzania, Zanzibar International Film Festival (ZIFF) inapenda kuwataarifu kuwepo kwa ZIFF Min-Festival itakayofanyika Ngome Kongwe, Zanzibar kuanzia tarehe 31/12/2010 hadi 2/01/2011, itakua ni Tamasha dogo la siku 3 katika kutoa muamko kwa Tamasha kubwa la ZIFF lijalo (2-10 Julai, 2011).

Tamasha hili dogo litajumuisha filamu za kitanzania peke yake ili kuendelea kutoa mwamko kwa watengenezaji filamu wa Tanzania kufanya vyema katika tasnia hii, Tamasha hili litaonesha filamu 6 za Kitanzania na filamu 2 bora kati ya hizo zitaenda kuoneshwa katika Tamasha kubwa la filamu Afrika - FESPACO huko Burkina Faso.
Kama ilivyo ada ya Tamasha la Filamu la Nchi za Majahazi, tutakua pia na makundi ya muziki na wakati huu kundi zima la THT litafanya maonesho kwa siku zote tatu, watakao kuwepo ni Mwasiti, Marlaw, Mataluma, Amin, Barnaba, Pipi, THT Dancers na wengineo. Kwa habari zaidi tembelea www.ziff.or.tz


Tunapenda kuwakaribisha wadau wote na waandishi wa habari katika mkutano wa waandishi wa habari utakaofanyika katika ukumbi wa Habari - Maelezo, Dar es Salaam, kuanzia saa 4 asubuhi mpaka saa 5 asubuhi kesho Jumatano, tarehe 22/12/2010

Tuesday, December 21, 2010

SIKINDE NGOMA YA UKAE NDANI YA ZNZ TAREHE 25 X MAS DAY!


Have u ever seen Devile walking naked? or Frog cross the fire? Antarakuno Sekinde ngoma ya ukae ..Daaa? Jamaa wanavamia znz tarehe 25 xmas day! Gymkana Hal... Come n see amazig! The al nite..Funika bov!!

Friday, December 17, 2010

ZAMU YAKO - METAYA NEW VIDEO



METAYAA AKA SHOOOOOOOT GUN BOOOOM!!! AMEACHIA VIDEO YAKE MPYA YA NGOMA YAKE INAYOKWENDA KWA JINA LA ZAMU YAKO . MCHIZI HII NDO NGOMA YA KWANZA KUIMBA MAPENZI . MIMI NILIDHANI JAMAA NI MGUMU TU HIP HOP KWENDA MBELE BT HAPA AMEDATA NA MTOTO WA KIZANZIBARI AMBAE ANAMWAMBIA WAENDE FORODHAN WAKALE MBATATA ZA UROJO .. DAAA NGOMA HII IMETENGENEZWA NA ARON WA JUPITER RECORD NA VIDEO IMEFANYWA NA AMSTRON DADDY JUPITER RECRD

Tuesday, December 14, 2010

UJEMBE KUTOKA KWA BERRY BLACK



MKUBWA HABARI,TAYARI NIMEWASILI KATIKA NCHI YA GERMAN IKIWA NI NCHI YA MWANZO NITAKAYOANZIA SHOW ZANGU AMBAZO NITAFANYA KUZUNGUKA EUROPE [BERRYBLACK EURO TOUR 2010/2011) ,NIMEWASILI HAPA JANA JIONI NA JAMAA WAMENIPOKEA FRESH SANA,SHOW NITAANZA MWISHO WA WIKI HII HAPA GERMAN THEN ZITAENDELEA NCHINI SWITZERLAND,HOLLAND,BELGIUM,ITALY GREECE,SWEDEN NA KWINGINEKO! MATANGAZO ZAIDI NITAKUTUMIA MKUBWA WANGU.

SALAAM KWA WOTE & HONGERA KWA KILIMANJARO STARS KWA USHINDI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!


Sunday, December 12, 2010

BEERY KUPEPERUSHA BENDERA YA ZNZ UJERUMANI


Janaa jamaa (Berry Black)ndo amechukuwa Pipa mida ya kama saa 6 hv .. nilipokea sim kutoka kwa Berry black akinambia hivi.. Dj side Mambo vipi? Nikamjibu poa niaje? Shwari mzazii. Akaniambia Dj nakuwaga naondoka sasa na ndege ya muda huu naenda ujeruman na ntakuwa na tour ya nchi kama 4 .. Nikamuuliza mbona haflaa? Akaniambia aa sio haflaa bt sikutaka hizi habari zitoke kwanza .So ntakuwa huko mpaka new year .. Nikamuuliza show ya Dubai vipi coz mlitakiwa yew year ndio muwe Oman na Dubai kulikoni? Berry akanijibu ni kweli Bt mimi sitakwendaa . Mimi ntakuwa huku so nadhan Kina Baby J na wasanii wengine ndio wataenda Dubai..

Kila la kheri kaka Tangaza mziki wetu wa Zenjiflava ....Tunakutakia mafanikio mema.