Tuesday, November 10, 2009

MAALIM SEIF AKIHOIJIWA NA ZENJIFM LEO



Katibu mkuu wa cuf maalim seif sharif hamad leo Alihojiwa na Zenjifm FM Radio Nakusema lengo kuu la yeye na chama chake kwaujumla kukutana na rais wa Zanzibar na hatimaye kutangaza rasmi kumtambua rais wa Zanzibar baada ya miaka 4 ya chama cha cuf yakutomtambua rais aman abeid karume ni kuzika tofauti ambazo zilizoonekana kujitokeza katika miongo kadhaa ilitopita ni kujenga Zanzibar mpya sasa Bonyeza Hapa(Maalim Seif) Kusikia Maalim Alisema nini?

MAALIM SEIF AKIZUNGUMZIA SUALA LA MUUNGANO

Licha ya maalim sef kusema kuwa lengo la cuf kukutana na kutangaza rasmi kumtambua rais karume kwa lengo la kuzika tofauti na kujenga Zanzibar mpya , bado tunatambua kuwa Zanzibar imepita katika mazingira tofauti tofauti lakini kwanini kwa kipindi kirefu kumekuwa kukionekana hali ya tofautitofauti kama upemba na unguja na vitu vya namna hiyo tatizo nini maalim? bonyeza hapa (Maalim Seif) Kusikia Maalim nini kasema

YALIYOMSIBU MAALIM SEIF MARA BAADA YA KUACHA UWAZIRI KIONGOZI

Hata hivyo katibu mkuu huyo wa cuf maalim seif sharif hamad hakusita yaliyomsibu mara baada ya kuacha uwaziri kiongozi alipoulizwa kuwa ali ilikuwaje siku alipoachia madaraka ya uwaziri kiongozi… bonyeza Hapa (Maalim Seif) kusikiliza alichosema Maalim

DAUD ISMAIL AKIKABIDHI ZAWADI KWA MREMBO


Huyo ndie mrembo Bi Nasra Mhamed aka Chia akipokea zawad kutoka kwa Manager wa Zenjifm fm Tawi la Dar Bwana Daud Ismail kwenye Ukumbi wa Gymkana Siku ya Show ya Zanzibar One mordan Taarab ilioandaliwa na Zenj fm

Mashabiki wakirusha rohoo Usiku wa show ya Zenjifm

Flave Djs kwenye Pozi la Ukweli


Hiki ndo kikosi cha maangamizi kikiwa kwenye pozi la ukweli maaneo ya Forodhan , Kulia ni Masta Feda akifuata Dj side Kati kati ni Rama B AKA Mkachizi . Kushotoyake ni Mb skwash . Dj sum mzeee wa kutupa mizingia akiwa kushoto mkononi na saa ya lak 2

Mr II ATAJA TAREHE YA UZINDUZI WA ALBUM YAKE MPYAA


Baada ya kudondosha pini la "Hold On" wiki mbili zilizopita , Mkongwe wa Bongo Flava Sugu aka Mr II kwa sasa yupo katika maandaiziya Uzinduzi wa alburm yake Iliokuwa ikisubiriwa kwa mda mrefu . Mr 2 ambaye kwa sasa Yupo Yew York USA amesema Uzinduzi wa alburm yake Unatarajiwa kufanyika December 24th katika ukumbi wa Diamod Jubilee
Katika album hiyo mchizi amesimama na ngoma 10 akiwa amewashirikisha wakali kutoka bongo kama Pro Jay , Stara Thomus , Mwna F a , Mkongwe Baloz dola soul na wengine wengi …
Hayaa Mkongwee Huyoo anarudi Atabambaa ?

NAKO 2 NAKO KUWABAMBA TENA


Nako 2 nako Kuja kwa Vishindo Pini lao jipyaa TayAri limeshakamilika na liko tayari kutoka Pini hilo ambalo wamempa shavu Mwanadada Pipi Linakwenda kwa Jina la MPANGO MZIMA na ngoma hiyo imetengenezwa na Producer Q kutoka Bongo Rec.

Mandojo awifa na Baba mzazi


Habari zakusikitisha baba yake mzazi Man dojo amefariki dunia wiki hii kule Manyoni Singida, baba mzazi huyo anajulikana kwa jina la FRANCIS MICHAEL ONGOSO. Mandojo na Domokaya ni wasanii walikuja kwa vishindo Wakatingisha Bongo. Kipaji cha wasanii hawa kiligundulikana na Producer maarafu P funk majani

Kwa sasa Mandojo Yupo singida kumlaki baba yake

Pole kakaaaa.. Yote ni mipango ya mungu . Sawa na nyimbo yako Alitakalo mungu halina makosa .
.

Sunday, November 8, 2009

Maisha club Yawaka Moto


Maisha club ya ostabei jijini dar yawaka moto huku ikiwaacha watu vinywa wazi kutokujua chanzo cha moto huo . Hata hivyo hakuna aliyedhurika Ila Mjumba ndo Unauona ulivyo hivyo .. Kuna baadhi ya Tetesi zinadai chanzo cha moto huo ni Hitilafu ya Umeme

Maisha Club ikiwaka moto


Sehemu ya Mbele ya Maisha club jinsi ilivyoteketea kwa moto

Mmiliki wa Maisha Club


Mmiliki wa Club ya Maisha club mama sweya akiwa hana la kusema, akimuachia Mungu kila kitu baada ua Moto kuteketeza kila kitu

Thursday, November 5, 2009

Baby By Me - 50 Cent Feat. Ne-Yo



Hayaa waungwana kama mlivoniomba niweke hii ngoma mpate kuiona Hiyo hapo sasa semen nani mkali kati ya 50 na Ne yo

FLEVA DJS MORE THAN DJS

Wednesday, November 4, 2009

Fleva Djs More Than Djs


Fleva Djs More Than Djs
Flava Djs

Fleva Dj Party zone!!



FLEVA Djs NDANI YA FUJI DISCO TAKE WIKI HII
Mikandamizo baado Inaendelea Ndani ya Fiji Disco Take (FLEVA DJ)
Ijuma hii ya 13th wataporomosha show la nguvu ambalo litakonga nyoyo za mashabiki wa burudani visiwani hapa” Wiki hii ni kwanja tuu kwenda mbeleee mpaka majogoo

Kwa kiingilio cha kawaida tu Tsh.3000, jukwa...a litatikisika kwa ajili yako
Sio pengine ni ndani ya ukumbi wa maraha wa FUJI DISCO TAKE
Saa 5:00 usiku FLEVA DJ Wataanza kurembea mizinga na kutupa mawe mpaka miale ya jua ianze kuchomoza machoni mwako

Usikose kufurahia maujanja ya kucheza na mashine na
Mikandamizo itarushwa na Dj wakali kama Dj side,Dj Bhaa s,Dj sam (mjanja suplier) pamoja na Dj Ally.
Karibu sana

Flava Dj


It's Party Time. The Party Doesn't stop till you drop, it goes on and on. It is at Friday night Mix where lovers of music swing and dance non-stop tune... Flava DJs as we plays a perfect blend of the hottest and the latest music from new jack swing to Hip hop, Bongo Flava, Dancehall and House. Shake to the week's to...p 40 hits. Dj side ,Dj Bhaa ,Dj Ally & Dj Sum Will plays your Favourite mellow mix - raggae, Soca, Dancehall, East African's Flavas, Kwaito and the latest in R 'n' B.

Your Welcome