Tuesday, November 10, 2009

Mandojo awifa na Baba mzazi


Habari zakusikitisha baba yake mzazi Man dojo amefariki dunia wiki hii kule Manyoni Singida, baba mzazi huyo anajulikana kwa jina la FRANCIS MICHAEL ONGOSO. Mandojo na Domokaya ni wasanii walikuja kwa vishindo Wakatingisha Bongo. Kipaji cha wasanii hawa kiligundulikana na Producer maarafu P funk majani

Kwa sasa Mandojo Yupo singida kumlaki baba yake

Pole kakaaaa.. Yote ni mipango ya mungu . Sawa na nyimbo yako Alitakalo mungu halina makosa .
.

No comments: