Wednesday, November 4, 2009

Fleva Dj Party zone!!



FLEVA Djs NDANI YA FUJI DISCO TAKE WIKI HII
Mikandamizo baado Inaendelea Ndani ya Fiji Disco Take (FLEVA DJ)
Ijuma hii ya 13th wataporomosha show la nguvu ambalo litakonga nyoyo za mashabiki wa burudani visiwani hapa” Wiki hii ni kwanja tuu kwenda mbeleee mpaka majogoo

Kwa kiingilio cha kawaida tu Tsh.3000, jukwa...a litatikisika kwa ajili yako
Sio pengine ni ndani ya ukumbi wa maraha wa FUJI DISCO TAKE
Saa 5:00 usiku FLEVA DJ Wataanza kurembea mizinga na kutupa mawe mpaka miale ya jua ianze kuchomoza machoni mwako

Usikose kufurahia maujanja ya kucheza na mashine na
Mikandamizo itarushwa na Dj wakali kama Dj side,Dj Bhaa s,Dj sam (mjanja suplier) pamoja na Dj Ally.
Karibu sana

No comments: