Saturday, June 26, 2010

HAWA NDIO WALIOSHINDA TUZO ZA ZANZIBAR MUSIC AWARDS JANA


HAWA NDIO WASHINDI WA TUZO ZA ZMCL ZILIZOFANYIKA USIKU WA JANA

5TH ZMA RESULTS 2010
I MUIMBAJI BORA WA MWAKA

MSHINDI NI

MTUMWA MBAROUK – UNANITAFUTA UNDANI

II MUIMBAJI BORA WA MWAKA WA KIUME MUZIKI WA KIZAZI KIPYA

MSHINDI NI RICO SINGLE – WACHA WAONGEE

III WIMBO BORA WA MWAKA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA

MSHINDI NI JUNE JULY – JUMA 20

IV WIMBO BORA WA MASHIRIKIANO MUZIKI WA KIZAZI KIPYA

MSHINDI NITEMBEE MBELE – BABY J

V WIMBO BORA WA MWAKA TAARAB YA KISASA

MSHINDI NI NIDHIBITI - SAADA NA SSOR ( ZANZIBAR ONE)

VI MTUNZI BORA WA MWAKA

MSHINDI NI SAID BAKAR – WEMA WANGU MTIHANI

VII MTAARISHAJI BORA MUZIKI WA MWAKA

MSHINDI NI AROON NAME – WACHA WAONGEE

VIII MWANAMUZIKI BORA WA MWAKA

MSHINDI NI NASSOR AMOUR

IX MUIMBAJI BORA CHIPUKIZI

MSHINDI NI DIDA – HAWANA NENO
X ALBUM BORA YA MWAKA

MSHINDI NI KAMA NI RAHISI – ZANZIBAR ONE

XI MUIMBAJI BORA WA KIUME TAARAB ASILIA

MSHINDI NI MAKAME FAKI – VYA KALE DHAHABU

MUIMBAJI BORA WA KIKE TAARAB ASILIA

MSHINDI NI FAUZIA ABDALLA – LISHALO

XIII MUIMBAJI BORA WA KIKE TAARAB YA KISASA

MSHINDI NI ZUHURA SHAABAN – ONCE MORE

XIV MUIMBAJI BORA WA KIUME TAARAB YA KISASA

MSHINDI NI IBRAHIM KHAMIS – ONE CHANCE

XV : MUIMBAJI BORA WA KIKE MUZIKI WA KIZAZI KIPYA

MSHINDI NI DORIKA – CHAGUO LANGU

XVI : KIKUNDI BORA CHA MWAKA NGOMA ASILIA

MSHINDI NI SANAA – KARIAKOO

PICHA ZA MUSIC AWARDS JANA INFO ZINAKUJA SOON


Picha ya walioshinda Tuzo wote

Ali kiba Ndie msanii aliye wapagawisha jana kwenye Tuzo

Dj sum ndie aliekuwa Dj wa show ya jana. Hapa akiwa na Aziza wazir kheri mtangazaji wa Zenjifm

Kushoto ni Rama B ambae alikuwa Mc wa shughuli mimi nikiwa na Aziza Mtangazaji wa Zenjifm na kushoto ni Issa Msabah ambae alikuwa Technician wa Radio kwa ajili ya live

Mb skwash hapa akiwa na Aziza

Juma 20 hapa wakiwa na Dj sum katikati na kushoto ni Rico singo

Juma 20 akiwa na Manager wake Ndugu Seif Mhamed alievalia shirt nyekundu pamoja na Rafiki zake . Juma 20 alinyakuwa tuzo ya Wimbo bora wa kizazi kipya. June jully

Wafanyakazi wa ZMCL mwanzoni hapo ni Dada Winnie alievalia nguo nyekundu akifuatiwa na Ndugu Seif Mhamed.. ambae ndie Manager wa Zenji Entertainment.akifuatiwa na Abdull khafar . wakionekana kwenye pozi pamoja na Ali kiba

Manager wa ZMCL Bw Juda Mapunda hapa akiwa ameshikilia tuzo akiwa kwenye pozi sambabmba na Mh Seif Hatib Wazir anaeshughulikia mambo ya Muungano

Mwanamziki bora wa mwaka Rico singo hapa akiwa kwenye pozi na Msanii bora chipukizi wa mwaka Dida wote hawa wanawakilisha Jupiter Record

Kushoto ni Msanii Metaya akifuatiwa na Dj G au Gulu ramadhani pozi lapamoja na Rico singo pamoja na Producer bora wa mwaka Ndugu Aron name

Hapa ni mimi (Dj side) Nilievalia Suite kama F B I au Agent Jack bowa wa C T U(ndani ya 24)Mbele yangu ni Msnaii Metaya, Producer Aron name na Rico singo

Mtangazaji wa TVZ Has T akiwa kwenye pozi na Baby J,Rico singo, Dida na Metaya

Huyu ndie Bwana Duuu au Mc Duu Mmiliki wa Zanzibar One mordan Taarab hapa akichukuwa Tuzo ya Album bora ya mwaka Iitwayo KAMA NI RAHISI

Berry Black akiwa kwenye pozi na Mtangazaji wa Bomba Fm. Sadiki almaaruf Flash wa pekee. pamoja na Rafiki yao. kwenye pozi la pamoja wakishow love kwenye Tuzo zilizofanyika juzi. Berry Black mwaka huu yeye hakushiriki tuzo hizi

Juma 20 hapa akiongea kilughaa au kimombo baada ya kutangazwa kuwa ameshinda tuzo ya wimbo bora wa mwaka mziki wa kizazi kipya .. Pia juma 20 alipata nafasi ya kutoa burudani. Jamaa nimemkubali kwenye stage . Alijiandaa vizuri kwani alipanda na Stage show wake wa FACE 2 FACE na kuonesha maajabu . Show ilikuwa mzuka sana


Rico singo akiongea mawili matatu baada ya kushinda Tuzo ya Mwanamziki bora wa mwaka Mziki wa kizazi kipya

Manager wa Zanzibar Petroleum Bw Colin hapa akimkabidhi tuzo Bi Fatma Mbarouk Tuzo ya Msanii bora wa kike wa Taarab asilia


Hawa ndio Dancers wa Face 2 Face wakionesha umahiri wao wa kucheza mbele ya Mgeni rasmin wa siku hii Bi Asha Abdallah Juma Waziri wa kazi maemdeleo ya vijana wanawake na watoto ndani ya ukumbi wa Salama hall Bwawani

Huyu ndie Dida aliechukuwa Tuzo ya Mwanamziki bora chipukizi wa mwaka huu

Hapa Dida akitoa shukrani kwa waandaaji wa Tuzo hizi baada ya kukabidhiwa Tuzo yake ya Msanii bora chipukizi wa mwaka

Dorica hapa akionekana kafurahi sana akipoke Tuzo baada ya kutangazawa kashinda Tuzo ya Msanii bora wa kike Mziki wa kizazi kipyaa.

Huyu ndie Mrembo aliekuwa akipeleka tuzo kwa wahusika anaitwa Sophy.

Mh Seif Hatib ambae ndie mmiliki wa kituo cha Radio ya Zenjifm kilichoandaa Tuzo hizi hapa akitoa nasaha zake kwa wasanii

Mgeni Rasmin wa Tuzo hizi Bi Ashaa Abdallah Juma Waziri wa kazi maemdeleo ya vijana wanawake na watoto. akiwa na Mh Seif Hatib katika maadhimishow ya Utoaji tuzo hizi ndani ya Ukumbi wa salama Hall bwawani

HATIMAE TUZO ZA ZMCL ZAFANHIKA JANA

HAWA NDIO WASHINDI WA TUZO ZA ZMCL ZILIZOFANYIKA USIKU WA JANA

HAWA NDIO WASHINDI WA TUZO ZA ZMCL ZILIZOFANYIKA USIKU WA JANA

5TH ZMA RESULTS 2010
I MUIMBAJI BORA WA MWAKA

MSHINDI NI

MTUMWA MBAROUK – UNANITAFUTA UNDANI

II MUIMBAJI BORA WA MWAKA WA KIUME MUZIKI WA KIZAZI KIPYA

MSHINDI NI RICO SINGLE – WACHA WAONGEE

III WIMBO BORA WA MWAKA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA

MSINDI NI JUNE JULY – JUMA 20

IV WIMBO BORA WA MASHIRIKIANO MUZIKI WA KIZAZI KIPYA

MSHINDI NITEMBEE MBELE – BABY J

V WIMBO BORA WA MWAKA TAARAB YA KISASA

MSHINDI NI NIDHIBITI - SAADA NA SSOR ( ZANZIBAR ONE)

VI MTUNZI BORA WA MWAKA

MSHINDI NI SAID BAKAR – WEMA WANGU MTIHANI

VII MTAARISHAJI BORA MUZIKI WA MWAKA

MSHINDI NI AROON NAME – WACHA WAONGEE

VIII MWANAMUZIKI BORA WA MWAKA

MSHINDI NI NASSOR AMOUR

IX MUIMBAJI BORA CHIPUKIZI

MSHINDI NI DIDA – ACHANA NAO

X ALBUM BORA YA MWAKA

MSHINDI NI KAMA NI RAHISI – ZANZIBAR ONE

XI MUIMBAJI BORA WA KIUME TAARAB ASILIA

MSHINDI NI MAKAME FAKI – VYA KALE DHAHABU

MUIMBAJI BORA WA KIKE TAARAB ASILIA

MSHINDI NI FAUZIA ABDALLA – LISHALO

XIII MUIMBAJI BORA WA KIKE TAARAB YA KISASA

MSHINDI NI ZUHURA SHAABAN – ONCE MORE

XIV MUIMBAJI BORA WA KIUME TAARAB YA KISASA

MSHINDI NI IBRAHIM KHAMIS – ONE CHANCE

XV : MUIMBAJI BORA WA KIKE MUZIKI WA KIZAZI KIPYA

MSHINDI NI DORIKA – HAWANA NENO

XVI : KIKUNDI BORA CHA MWAKA NGOMA ASILIA

MSHINDI NI SANAA – KARIAKOO



ZMCL CREW

Wednesday, June 23, 2010

TAREHE 25 MWEZI HUU NDIO ZANZIBAR MUSIC AWARDS


Hadi sasa Juma 20,Beby J na Ali kiba ndio wasanii walio tajwa kuwa ndio watako toba burudani kwenye Tuzo hizi. Mgeni wa tuzo hizi ni Bi Ashaa Abdallah Juma Waziri wa kazi maemdeleo ya vijana wanawake na watoto. Tuzo hizi zitafanyikka katika ukumbi wa Salama holl bwawani . Ifo zaidi zinakuja

Tuesday, June 15, 2010

TAMASHA LA ZIFF


ZIFF NI NINI
Tamasha la Nchi Za Jahazi ( ZIFF ) ambalo linatimiza miaka 13 mwaka huu ni moja ya matamasha makubwa Afrika Mashariki na linatambulika duniani kote kwa kuinua na kuendeleza filamu, muziki na sanaa za kiafrika katika majukwaa ya kimataifa..

LINI NA WAPI LINAFANYIKA Julai 10-18, 2010 Kwa mwaka huu tamasha litaanza tarehe10 mpaka tarehe 18 ya mwezi wa saba(7), Kwa miaka mingi ZIFF imekuwa ikitumia Mji Mkongwe, hususani Ngome Kongwe kama jukwaa la matukio yote makubwa yanayotokea kwenye tamasha. Pia tamasha hufanyika katika mji wa Pemba na Tanzania Bara (Dar es Salaam na Bagamoyo).


ZAIDI KUHUSU ZIFF Tamasha la Nchi za Jahazi ni moja kati ya matamasha makubwa ya utamaduni kwa ukanda huu wa Afrika mashariki. Kwa miaka 13 sasa ZIFF kimekuwa chombo cha jumuia ya kizanzibari yenye malengo ya kuendeleza filamu za kiafrika na pia kusherehekea utajiri wa tamaduni tofauti kutoka ndani na nje ya Afrika.


FILAMU Kila mwaka ZIFF huleta pamoja maelfu ya watu toka hapa nyumbani, nje ya nchi, watengenezaji filamu toka Afrika na nje ya Afrika na wadau mbalimbali wa filamu kusheherekea tamasha hili la aina yake. Kwa miaka mingi sasa ZIFF imeweza kujijengea jina kutokana na maonyesho makubwa yenye kuvuta hisia za wengi na kufanikiwa kuendeleza na kukuza wigo wa sinema katika Afrika na ughaibuni pia.

Tunalitangaza tamasha kwa kupitia watu maarufu na wenye majina (Mfano tumeshakuwa na wasanii mbalimbali kutoka Hollywood ambao hualikwa maalum kama wageni rasmi) lakini tunajivunia uwezo wetu wa kujitolea katika kuendeleza na kutangaza vipaji chipukizi katika sanaa na filamu za humu nchini. UTAMADUNI Ingawa kwa asili tamasha ni la filamu, ZIFF tunaamini katika nguvu ya sanaa, Hivyo tumeandaa ratiba itakayosheheni pia wasanii wa muziki waliochaguliwa kwa umakini mkubwa kutumbuiza ambapo muziki utakua ukipigwa “live”. Pia kutakuwa na maonesho ya sanaa, mwaka huu kutakuwa na maonesho ya Vitenge vya Wax toka Uholanzi, Ghana, Congo na Tanzania tukijivunia sanaa ambayo sasa ni biashara kubwa duniani kote. JAMII Maendeleo na ushiriki wa jamii umekuwa changamoto muhimu kwa ZIFF. Tumeweza kuwashirikisha na kuwaleta wanafunzi na vijana hasa kutoka shule za msingi na sekondari, na kwa hivyo kuwawezesha kupata nafasi ya kuangalia filamu za Kiafrika na za Kimataifa. Kwa muda mrefu sasa Jukwaa la Wanawake ni jukwaa ambalo hujumuisha warsha na maonesho ya filamu ambayo hulenga kuendeleza majadiliano kuhusiana na shughuli za kijamii na haki za kisheria kwa wanawake. Vilevile jukwaa la wanawake huwapa fursa wanawake kujadili na kupanga mustakabali wao kama wanawake na pia kutambua uwezo na nafasi ya mwanamke katika kuendeleza jamii zao na zinazowazunguka. Katika kutambua uwepo na kuthamini vipaji vya watoto ZIFF, kwa kushirikiana na Taasisi ya Filamu ya Denrmark, huwaletea watoto programu inayolenga kuendeleza na kuhamasisha uelewa na utengenezaji filamu kwa watoto. SOKO ZIFF ni tamasha muhimu kwa wadau wa filamu duniani kwa kuwa mwenyeji wa mabaraza ya kuunganisha, kusambaza, kuendeleza na kutangaza filamu, hasa za Kiafrika, ZIFF inaendeleza usambazaji filamu kwa watengeneza filamu kutoka nchi zilizoendelea na nchi za Afrika kwa kuimarisha soko la filamu. MAFANIKIO YA MWAKA ULIOPITA 2009 Filamu ya Go With Peace Jamil (Afghanistan/Denmark) ambayo ilishinda tuzo ya SIGNIS na FIPRESCI mwaka jana iliweza kushinda pia katika tamasha la filamu la Goteborg baadae mwaka huo huo. Bilal ( ya Sourav Farangi) nayo ilishinda tuzo katika tamasha la IFF Las Vegas pamoja na Aljzeera Golden Award (Aljazeera IFF) Kaa tayari kwa filamu mpya zitakazozinduliwa mwaka huu ambazo HAUTAKIWI KUZIKOSA Tunayofuraha kuwatangazia filamu mpya zitakazotambulishwa rasmi mwaka huu. MOTHERLAND Uzinduzi filamu mpya ya Motherland (ENAT HAGER) iliyoongozwa na mtayarishaji mahiri Owen Ailk Shahadah ambaye ni Mshindi wa tuzo ya PAN- AFRICAN film festival 2010, Makala bora. MOTHERLAND ni filamu yenye mvuto inayogusa historia utamaduni na siasa ikisimulia hadithi mpya ya bara la Afrika ikiwa na wahusika kama vile Marais Meles Zenawi na Jacob Zuma na pia Mkufunzi maarufu Ali Mazuri na msanii Harry Belafonte. TWIGA STARS: TIMU YA MPIRA WA MIGU YA WANAWAKE TANZANIA. Kwa mapenzi na ushabiki mkubwa wa mpira wa miguu ambao unaonekana kukua kwa mwaka huu, ZIFF tunayo furaha kuwatangazia uzinduzi a filamu mpya ya TWIGA STARS, timu ya taifa ya wanawake ya mpira wa miguu ni filamu iliyoandaliwa na Nisha Ligon.
Filamu hii inayoonesha maisha ya Twiga Stars, timu ya mpira wa miguu ya wanawake Tanzania kwa mwaka mzima, inaonesha uchaguaji, kambi za mazoezi na ushiriki katika mashindano nje ya nchi pia matatizo yote wanayokutana nayo wasichana ambao wana ari, vipaji na shauku kubwa la kujaribu kuwa wachezaji mahiri wa mpira wa miguu katika moja ya nchi maskini duniani.

Sunday, June 13, 2010

BERRY BLACK N EW VIDEO - NARANDA FT MR BLUE


Hii ndio video mpya ya mchizi imetoka ndani ya wiki hii..Album ya berry sasa ipo mitaani. album inaitwa MFALME WA ZANZIBAR. Ndani ya ngoma hii berry amemshirikisha Mr blue. Ngoma inaitwa naranda. Video ya ngoma hii imefanywa na Kallage kutoka bongo.

TUKO PAMOJA - ZANZIBAR ALLSTARS VIDEO


Haya wadau kitu hicho kutoka nyumbani Zanzibar.. Baada ua makubaliano kati ya Rais wa Zanzibra na Seif sharif hamadi juu ya mstakbali wa ZANZIBAR.hatimae haya ndio matunda yake. Wasanii wakubwa wakizazi kipya kwa moyo mmoja wameamua kushirikiana na kutengeneza wimbo huu kwa ajili ya kuhamasisha kuwa ZANZIBAR NI MOJA .Nyimbo hii imetengenezwa pale jupiter record na Producer
Alonem, Wasanii walioshiriki ni pamoja na Sultan king,Juma 20,Dorica,Rico Single,Didah,Berry Black,Baby Jay, Pamoja na Huza man

MR.WISE FEAT.REGINA-WAREMBO WA PEMBA


Mkongwe wa miondoko ya kizazi kipya Zenjiflava amerudi tena.. Baada ya ukimya wa muda mrefu akiwa bize na biashara biashara mara south africa mara msumbiji mara mikowani sasa Mr wise ameachia Ngoma mpyaa Iitwayo Warembo wa Pemba. Ngoma hii imetengenezwa pale jupiter record . Angalia video yake hapo juu ambayo imetoka wiki hii . Video hii imetengenezwa pale pale Jupiter recod na Amstrong Dady.

Saturday, June 12, 2010

GOAL LA MEXICO LILILO KATALIWA JANA


Daa hii sijapenda.. sijui ndo wa nyumbani ama vipi? maana mchezaji wa south africa yupo ndani ya box. sijui kwa nini hili goal likawa si la halali. Hapa refer kachemsha sana . Angalia kwa umakini utaona ilikuwaje

The 1st assistant has committed the biggest blunder. FIFA law said there is no offside when taking corner kick, throw-in and goal kick. Can anyone enlighten me if I am wrong. Even the sport commentator doesn’t know the rule. Pls check the FIFA law book. The goal should be awarded and error by the 1st assistant prove to be the biggest joke in the World Cup opening game

TOP 10 HIGHEST PAID FOOTBALLERS AT THE 2010 WORLD CUP


1. Lionel Messi
Barcelona & Argentina
£29.6m

Like Danny Devito in the early 90s, Messi may be small but he’s still going to cost you a lot of money. With David Beckham out injured, the stage was left clear for young Leo to be the highest-paid player on show in South Africa — and not just the best. The Ballon d’Or winner has recently signed a mammoth contract extension at Barca, reportedly pushing his weekly pay beyond the £200,000pw mark, and he is heavily sought after when it comes to endorsing anything from boots (Adidas) to video games (Pro Evo). Guapa.

Not heading to South Africa are the majestic Ronaldinho, whose renaisscance hasn’t won over his long-time detractor, Brazil boss Dunga. Also, the injured David Beckham and Sweden’s finest, Zlatan Ibrahimovic, would certainly be placed very high on this list, had his country qualified for the tournament.

2. Cristiano Ronaldo
Real Madrid & Portugal
£27m

Perma-tans need constant re-application, and you’d be amazing how quickly package-hugging briefs wear out. Fortunately for ‘CR9’, he earns more than enough from his day job, let alone his endorsements, to keep himself in both — and even has money left over to apply copious amounts of wet-look hair gel. Earning near £200,000-a-week before his Nike-led sponsorship deals, his virtually limitless marketing potential will only see his value grow over the coming years. Watch out, David Beckham.

3. Kaka
Real Madrid & Brazil
£16.9m

He may belong to Jesus, but Kaka’s money is all his own — except, that is, when he donates huge chunks of it to deserving causes. The Brazilian has never opted to fully capitalise on his marketing potential, but earns great money for doing the thing he does best — playing football. The world’s most expensive player for almost a week, he is still firmly among its highest paid.

4. Thierry Henry
Barcelona & France
£16.1m

Renault Clio adverts evidently pay very well these days. Henry is reportedly on his last legs at Camp Nou (almost literally), with his lucrative contract set to be offloaded in the summer, and will likely be consigned to a bench role in South Africa. But for now, his bank account still screams Va Va Voom. US of A, here he comes

5. Carlos Tevez
Manchester City & Argentina
£13.8m

Tall, dark, handsome — unfortunately Tevez only ticks one of those boxes. But what he lacks on paper he makes up for, well, in paper. Not the first recipient of City’s recently-found largesse, he has certainly been the biggest benefactor to date. He may be looked down on when his international team-mates discuss the Champions League over the next few weeks, but he’ll be one of the clear king-pins when it comes to the poker games.

6. Frank Lampard
Chelsea & England
£12.8m

At the ripe old age of 32, Lampard is still pulling in the big bucks — with little sign of slowing down any time soon. Pepsi and Adidas give him some walking-around money, but it is on the pitch he really earns his corn. Trophies on his shelf and a trophy girlfriend on his arm (except, in a twist on the normal scenario, one with a very successful and respectable career of her own) you could say the East End lad has done good.

7. Samuel Eto’o
Inter & Cameroon
£12.4m

Of all the people laughing at Zlatan Ibrahimovic this summer, Eto’o might be laughing the loudest — and longest. He isn’t quite as well paid as the Swede with whom he swapped clubs last summer, but he has a Champions League title and World Cup appearance to celebrate a year later. Ibra has neither.

8. John Terry
Chelsea & England
£10m

JT’s many endorsements help him to this list, but they’ve dried up pretty quickly after his recent well-documented … transgressions. But he still picks up a hefty wage packet at the end of every week from the Blues (reportedly around £180,000), a sum increased only last summer as a reward for seriously entertaining Manchester City’s oil wealth. Football truly is a generous game.

9. Steven Gerrard
Liverpool & England
£9m

Loyalty has its rewards, and Gerrard has earned handsomely through remaining faithful to his boyhood club. Endorsements built on that clean-cut image boost his overall earnings — that night-club brawl seems to be long forgotten — but will more failure with England in the summer see him fancy a (lucrative) summer move to Real Madrid?

10. Xavi
Barcelona & Spain
£8.5m per annum

The low-key, high-class midfield maestro earns a solid basic wage in the region of £6.5m per year (£125,000pw), topped up with the obligatory collection of endorsements and bonuses. Which, if you play for Barcelona, you tend to get a lot of. But rumours that he is fined for every misplaced pass he makes, encouraging his high completion rate, are apparently untrue.

Thursday, June 10, 2010

RICHIE ONE HATIMAE ATANGAZA KUNDI JIPYA CHINI YA CAMPUNI YA MPO AFRICA


Hatimae Kampuni ya Mpo Afrika imetangaza kusaini mkataba na kundi jipya litakalokuwa likiitwa Wanaume, likiundwa na wanamuziki walioachwa katika kundi la TMK Wanaume Halisi.

Akizungumza msemaji wa kundi hilo mapema leo ndani ya ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO,Hassan Umande alisema lengo la kuunda kundi hilo jipya ni kwa ajili ya kuendeleza sanaa na kuleta mabadiliko katika anga ya muziki wa kizazi kipya aka bongofleva hapa nchini.

"Mnajua waandishi, kiukweli kuna vikwazo vingi vilitokea mpaka tukaamua kujitenga ,yote hiyo kuepuka migongano ambayo kimsingi si ya lazima kwa sababu saote ni vijana na tunatafuta maisha,kwa hiyo kwa sababu tumetengwa basi tumeamua kuunda kundi la watu sita"'amebainisha Hassani Umande.

Hassani amewataja wasanii watakaounda kundi hilo kuwa ni Athuman Yahya (A.Man), Juma Mbelwa (Juma Jazz), Karim Kaiman (Kakaman), Abdul Ally (Mzimu), Richard Shauri (Rich One) pamoja na David Mpangile (Daz-p).

Alisema mpaka sasa wamesharekodi nyimbo tatu ikiwemo, mapenzi kitu gani?, Poa tu pamoja na Mukide

HII I LINIACHA HOI KWELI


Huyu ndie kijana aliewashangaza watanzania baada ya kuruka senyenge za uwanja wa Taifa na kuingia uwanjani kwenda kumpiga Hug mchezaji wa Brazil KAKA . watu walishangaa sana kwani haikujilikana kwa hafla jama katokea kwa wapi. hafla yupo uwanjani wakati bado soka inaendelea kupigwa ..Yeye alitaka kumpa Hug kaka tu basi ili atimize ndoto zake.

Monday, June 7, 2010

ANGALIA MAGOLI YALIVO INGIA KIZEMBE





CHOFACO RECORDS YATAFUTA WAKALI WA MIKE


CHOFACO RECORDS INATOA SHUKRANI ZAKE ZOTE KWA WAPENZI WA MUSIC TANZANIA KWA KUIPOKEA WIMBO WA DANGER YA FID Q FEAT. J . BRYANT, IKIWA NDIO SINGLE YA KWANZA KUSIKIA NCHINI TANZANIA KUTOKA CHOFACO RECORDS,
CHOFACO RECORDS - IS KINDLY ACCEPTING ALL KINDS OF DEMO'S FROM UPCOMMING ARTISTS(UNDERGROUND KING'S) FROM TANZANIA SO IF YOU KNOW YOU GOTTA SICK FLOW,SICK STYLE,SICK LYRICS ,NICE R&B VOICE DONT HESITATE TO SEND IT TO US WITH ALL YOUR CONTACT INFORMATION LIKE PHONE NO OR EMAIL ADDRESS,ANY DEMO WE RECEIVE WE DO RESPECT IT AND LISTEN TO IT.SO SEND YA DEMO'S TO chofacorecords@gmail.com
IF WE DO FIND OUT YOU GOT SOME SICK/DOPE SHITT WE WILL HIT/CONTACT YOU AS SOON AS POSSIBLE AND OFFER YOU A FULL AUDIO PRODUCTION FOR TWO SONGS FREE /BUREE.
THREE NEW SONGS WILL BE COMMING OUT AT THE END OF JUNE FROM NEW FEMALE TANZANIA ARTISTS BY THE NAME OF NJIRE C - WITH THE SONG NAME "BE YOURS" AND ANOTHER TWO SONGS BY BELLE 9 SONG NAME " PLAYFIGHT''/ ''BAK2U'''
IF YOU FEEL LIKE WORKING WITH CHOFACO RECORDS YOUR WELCOME ANYTIME

TAIFA STARS YAKANDAMIZWA MISUMARI MITANO NA BRAZIL




Mashabi wa soka wakiwa wamesimama wakati wa wimbo wa Taifa wa Brazil na ule wa Tanzania uliokuwa ukisumbuaa na kutaka kugoma kuendelea mbele ya Rais Kikwete na kupelekea mashabiki kuaza kuzomea maandalizi mabovu ya TFF kuwa wameendekeza tamaa ya fedha kwa kuweka vingilio vikubwa na kushindwa kujiandaa vya kutosha... Taifa
stars imekandamizwa misumari 5 kwa moja

Huyu ndie kijana kiboko ya Watanzania alipasua katikati ya uwanja kwa ajili ya kumpa 5 mchezaji wa brazili kaka.... Jamaa alinishangaza sana. maana hata haikujilikana ametokea wapi. hafla anaonekana yupo katikati ya kiwanja hata sijui kapenyea wapi...kutoka tu FFU wamemnyakaa