Saturday, January 16, 2010

DUU? GARI LA FIRE LARUDISHWA ZNZ?



Hali hii ilinishangaza sana... wakati tunarudi pemba kwenye sherehe za mapinduzi njiani tulikutana na Gari la Fire likiwa nalo linarejeshwa Zanzibar .. Nilijiuliuza... Hivi pemba huwa hakuwaki moto? Mbona linarudushwa znz kulikoni?

No comments: