Saturday, January 16, 2010
KIKUNDI CHA TAIFA CULTURE KIKITOA BURUDANI KATIKA UKUMBI WA GOMBANI USIKU WA SHEREHE ZA MAPINDUZI
Kikundi cha taifa Culture musical club wakitoa buraudani ya Taarab Asilia katika hafla iliofanyika katika uwanja wa Gombani chake chake Pemba.. Huu ulikuwa ni usiku maalu ambapo Mgeni rasmin alikuwa Waziri kiongozi Mh Shamzi Vuai Nahodha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment