Sunday, January 3, 2010

RICO SINGO AACHIAA VIDEO YA NGOMA MPYA SIKU YA MKESHA WA MWAKAA MMPYAA


Mabibi na Mabwana Hii ni video yangu mpyaa kutoka kwenye Album yangu ..Moja kati ya video zangu za ukweli .. Hii ni zawadi kutoka kwa mashabiki wangu wote ambao wananipa support yakutoshaa katika safari yangu ya mziki (BIG UP TO ALL MY PEOPLE,TUKO PAMOJA FOR LIFE)"Rico Single.

No comments: