Saturday, January 16, 2010

MSANII WA TAARAB ASILIA MAKAME FAKI AKIWA TAABAN KWENYE BOTI YEYE NA KIKUNDI CHAKEE


Makame faki...alikuwa taaban kwenye boti wakati wa kuvuka mkondo wa Nungwi.. Makame faki alikuwa na Kikundi chake kizima cha Culture . Walikuwa wanarudi znz kufuatia kutoa burudani katika Maadhimisho ya Sherehe za Mapinduzi Pemba

No comments: