Thursday, February 10, 2011

SAUTI ZA BUSARA KUANZA RASMI JANA


Jana tamasha la busara lilianza rasmin .Kiufupi watu wilihudhuria ni wengi sana kulingansha na mwaka uliopita. Hapo juu ndo kama unavyona waandaaji wana busara wakiwa kwenye stage wakati waufunguzi wakijitambulisha kwa wadau walihudhuria tamasha hilo

Kitu kikubwa kilicho washangaza watu wengi ni kuhusuana na Wageni waliohudhuria kwenye tamasha hilo. Kwa mujib wa tasmini ya haraka haraka wageni walionekana ni wengi zaid kuliko wazawa wa hapa znz kitu ambacho baadhai ya wageni kutoka kenya na uganda kushaangaa na kusema heee. I say wazanzibar hata hawana habari na tamasha? sisi tumetoka kwetu wao hawana habari

Hii ndio team ya busara wakishangiliwa kwa fujo wakati wa ufunguzi wa Tamasha

Kikundi cha Jahazi mordan Taarab wao ndio walifunga show kwa siku ya jana. lakini Jahazi lilipanda stajini basi na mzee yussuf. Kitu ambacho kiliwashangaza wengi na kuhoji hali ya mzee yussuf. Kikweli mzee anaumwa na Mguu na amefanyiwa operation wa goti. kwa maana hiyo jana hakuweza Kuimba kwani bado pio pio bado halijatoka
Hata hivo vijana walifanya akzi nzuri sana

Jahazi mordan taarab wakifanya vitu kweny jukwaa usiku wa jana kwenye Tamasha la busara

Baadhi ya wapezi walihudhuria kwenye tamasha siku ya kwanza ya ya ufunguzi wa tamasha hilo

No comments: