Sunday, May 16, 2010
HATIMAE CHID BENZ AUVAA UFALME WA HIPHOP TZ
Kwa mujibu wa Kili hatimae Chid benz ametangazwa tena Mwana Hip hop bora wa mwaka kwa mara nyengine baada ya mwaka jana kuchukua hiyo tuzo... Chidi alikuwa akichuana vikali na Joh Makini , Mangwea ,Profesa jay . Na hatiame jana kwenye tuzo chid akatangazwa ndie mshindi wa Mwna hip hop bora wa mwaka
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment