Thursday, May 6, 2010

ONA HII PICHA HAWA NI 2 BERRY KABLA YA KUGOMBANA

FLEVA DJS MORE THAN DJS
Mdau ona hii picha hawa ni 2 berry miaka kadhaa kabala hawajagombana.. Unaweza kuamini kama huko ndiko walikotoka? Huyo ndie berry black bwana , kwa sasa ni kibonge huwezi kuamini. Berry white afadhal kidogo anelekea maana alikuwa bishow toka zamani .... comment zako zikoje?
FLEVA DJS MORE THAN DJS

No comments: