Sunday, May 16, 2010

LAMAR NDIE PRODUCER BORA WA MWAKA


LAMAR naweza kusema huu ndio mwaka wakeee.. Hapa akipokea tuzo ya Mtayarishaji bora wa mwaka. Katika katagori hii amewatupa wakali hasaa akina
Marco Chali
Hermy B
Allan Mapigo
na Man Water

No comments: