Sunday, May 16, 2010

OFSIDE TRICK WAKIWAKILISHA KWENYE TUZO


Kulia ni Lil Getto na kushoto Muda cris kati kati ni mwana dada stage show wakiwakilisha vilivyo kwenye Tuzo za Kili..Kwa bahati mbaya Ofside hawakupata tuzo wimbo bora wa Asili. na tuzo hiyo hiyo imekwenda kwa Mpoto.wimbo wa Mjomba

No comments: